Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

kweli nimetembea nchi zote zakiarabu, zinazotoa mafuta na gesi, sijaona nchi ambayo rasilimali hizo zikimilikiwa na makampuni, mtu binafsi au wawekezaji, zote ni mali ya serikali na yapo makampuni ya uchimbaji yalioingia mkataba na serikali lakini sio kugawa vitalu wala kumiliki hizo rasilimali, sisi ni wa kukosa milele..
 
Mkuu Pasco nashangaa hii mada ilinipitaje.

Ila kazi ipo... I am hopeful maana naona ndiyo maana Mzee Mengi aligomabana Muhongo kwa nguvu zote...

Ndo maana ile sheria ilipitishwa haraka haraka kabla ya bunge kumaliza muda wake!!!

Kuna umuhimu wa kurudisha Azimio la Arusha: Sioni jinsi yeyote ya kuokoa maliasili yetu hasa zaidi gesi kwa sheria tulizonazo sasa!!

I am hope ful with ENL + UKAWA.
 
Last edited by a moderator:

Hivi wabunge wanaotokea bongo movie wanaweza kujadili masuala mazito kama hili la gesi?

Mimi naamini kuwa bunge letu limejaa mbumbumbu ndio maana hata mambo yenye maslahi kwa taifa yanachukuliwa kimzaha mzaha.
 
Kumbe na wewe unayajua haya??? then kwanini unajitoa ufahamu na CCM? ni maslahi binafsi au ninin? ewe mtanzania mwenzangu amka angalia yanayoendelea hapa kwetu then tumia akili yako ipasavyo!!! naamini sio kila siku wewe ni jingalao amka fanya mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Ishakula kwetu ndio maana wanatumia mabilion kuhakikisha hawatoki madarakani maana wakitoka wataishia segerea.
 
Kitendo cha rais Magufuli kupiga marufuku kusafirishwa kwa mchanga wa dhahabu, kiukweli tulikuwa tunaibiwa sana. Tukishindwa kuisafishia nchini, wawekezaji hao wafungashe na kuondoka zao, tutachimba na kusafisha wenyewe.

Tumekuja kugundua when it's too late, ila kwenye gesi nako tunaibiwa!. Rais Magufuli ziangazie hizo PSA 24 zilizosha sainiwa, ni wizi mtupu! . Kama vipi nao wafungashe tutajenga uwezo tuje tuichimbe gesi yetu wenyewe na faida yote iwe yetu.

Paskali
 
Maajabu ya Tanzania: kumbe bomba la gesi linatumika kwa 6% tu na 94% halina kazi. tupimwe akili jmn

UFISADI katika Mradi wa Bomba la Gesi: Serikali imechakachua bei(?)

Huku ndiko kwenye ufisadi mkubwa unaitwa "The Grand Corruptions". Tumuombe Rais Magufuli akimaliza ya Mchanga wa dhahabu ageukie gesi asili ambako nako tunaibiwa mchana kweupe.

Paskali
 
Nchi hii ilikuwa inaenda shimoni. Wizi kila upande....tena wizi mtupu. Mpaka kwa wale waliopenda kujiuza kama wazalendo...watanashati
 

Pascal

waambie Chadema na upinzani kwa ujumla waache ujinga wa kutupotezea muda kuongelea habari ya bashite na Roma na wajikite kuishinikiza serikali itoe majibu juu ya hii hoja yako.
 
  • Serikari (Raisi John Magufuli) na vyombo vya ulinzi na usalama wasipochukua hatua kali siku si nyingi pwani ya nchi yetu itakuwa haikaliki.
Mkuu Aotomata, sorry I'd like to differ kwa sababu Pwani ya nchi yetu ni very safe due to neema ya gesi asili, mwanzo JWTZ walitumika ku escort meli dhidi ya uharamia lakini ugunduzi wa gesi asili umetuletea neema za ulinzi, makampuni makubwa ya gesi yametoa kondarasi za ulinzi kwa makampuni ya kimataifa ya kimataifa ya ulinzi hivyo pwani yetu is very safe, ila pia Tanzania lazima tuwe tayari to take the bitter with the sweet, sio tuu, hatuna uwezo (the capacity) ya kuilinda mipaka yetu kwenye bahari kuu, pia hatuna uwezo ku monitor anything under sea.

Tunaweza ku monitor anga letu kwa radar na juu ya bahari kwa Navy wetu lakini hatuna uwezo wowote ku monitor undersea kwa sababu hatuna submarine radar, unless tunazo ila ni siri za jeshi!.

Sasa kutoweza kuilinda mipaka ya high
seas kunapelekea mimeli mikubwa inaweza kuja na kutia nanga kwenye adjacent international waters na kuzamisha mipira hata urefu wa 1km long na kujikombea gesi yetu kwa mtindo wa siphoning.

Paskali
 
Yan hii nchi hii sijui viongozi wetu wanapepo gani yan nataman hata kuwachinja yan hii issue inauma sio sili yan sijui tutakoma lini kuwa wajinga sisi Daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…