konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #21
Kabisa. Hii haihitaji kuwa genius kuijua.Watu hawana jema, kibaya zaidi wanapiga kelele bila hata kujua makubaliano na mkataba unasemaje
Ukiwa na tabia ya unyimi sana unawezajikuta unakufa njaa sababu tuu hutaki kuuza mali usiyoitumia ili mwenye uhitaji aitumie akupe pesa nawe upate chakula
Tembea uone ww panya buku unaye shangilia ujinga wa kile kibanda chenu Kama jiko pale ufipa, Nenda mtwara uone jinsi ambavyo wale wananch wapo ktk uchumi up ilihali gesi inatoka huko.Wasukuma Rais wenu kalala chattle, msitusumbue tafadhali!!!!
Wale wa shujaa ni ngumu kukuelewa, kwa sababu alikua anafikiri badala yao.Hiyo gesi ni nyingi mno,ndio maana inatakiwa iuzwe ilete fedha za kigeni,zilete maendeleo nchini kwrtu,hivyo ndivyo nchi zote zenye gesi duniani zanafanya,urusi wanauza gesi hadi ulaya na wana bomba la gesi kuelekea nchi nyingi tu
Wapumbavu wakubwa hao jamaamkuu shida kuna watu wana mahaba na mwenda zake hadi hawatumii akili zao tena
Ujue tz ina gesi nyingi sansKwani hii gesi haitumiki au haitatumika kwenye viwanda vya Tanzania? Kama inatumika au itatumika kwenye viwanda vya Tanzania tatizo lipo wapi? Kwani kuna ubaya gani kama una chakula cha kutosha nyumbani kwako ukaamua kumuuzia jirani yako ili kupata pesa ya ziada kufanya mambo yako mengine?
Kama viwanda vya ndani vitakuwa vinatumia hii gesi au vitatumia hii gesi basi mama yupo vizuri sana. Kama taifa lazima tupambane kuuza bidhaa zetu nje ili kupata fedha za kigeni na hiki ndio mama anafanya.
Kuna hoja watu wanaileta kuwa bidhaa za kenya zita-dominate soko la ndani kwa sababu vitakuwa vinazalishwa kwa gharama ndogo hivyo vitauzwa kwa bei ya chini. Hii hoja haina mashiko kama na sisi viwanda vyetu vitatumia gesi kwa sababu vitaweza pia kuzalisha bidhaa kwa gharama ya chini na kupelekea kuuza bidhaa zetu kwa bei ya chini pia.
Mwisho kabisa nawaomba watanzania tumuunge mkono mama. Nasikia mama ni mwanauchumi kitaaluma hivyo anajua anachokifanya, tumpe support atupeleke kwenye nchi ya asali na maziwa. Rais aliyesomea uchumi ndio tunamtaka kwa sasa.
Wewe unatumia gesi kwa umeme tuanzie hapo kwanzaMkuu una uhakika gesi haitutoshi? Hivi unadhani kama kweli gesi haitutoshi mama angeiuza nje? Unadhani mama hana akili mpaka auze nje gesi ambayo sisi wenyewe tunaihitaji? Binafsi nadhani zingine ni propaganda tu. Sidhani mama atakuwa na akili ya kujihujumu mwenyewe.
Siyo interest, tatizo ni kwamba watachelewa kuzinduka kwamba sasa Taifa liko kwenye gia nyingine, wapewe muda.Nadhani wana interest zao binafsi.
Hapana, situmii gesi kwa umeme ila sijui "kilichoko nyuma ya pazia" kwa nini situmii umeme wa gesi wakati ninaambiwa gesi ipo ya kutosha. Kilichopo nyuma ya pazia ndio fumbo ambalo wengi hatulijui. Kipindi cha Kikwete tuliambiwa gesi ni nyingi sana na mradi wa Kinyerezi ukikamilika umeme utakuwepo wa kutosha na gharama za umeme zitashuka. Baada ya Magufuli kukamata nchi tukaambiwa gesi ilishauzwa kwa mafisadi. "Kilichopo nyuma ya pazia" hatukijua ila nina uhakika mama anakijua ndio maana ameamua na kuiuza nje.Wewe unatumia gesi kwa umeme tuanzie hapo kwanza
Wasamehe mama. Bado wako kwenye fikra za shujaa, ubongo haukuzoea kufikiri kwa sababu kila aliloliamua lilikua sahihi, watu walitukuza mno mawazo ya shujaa, yaani akili zilishikwa. Sasa lazima muda upite ndipo warudi kwenye uelewa wao. Nakuona umetambua tofauti ya hawa watu wawili.Watu hawana jema, kibaya zaidi wanapiga kelele bila hata kujua makubaliano na mkataba unasemaje
Ukiwa na tabia ya unyimi sana unawezajikuta unakufa njaa sababu tuu hutaki kuuza mali usiyoitumia ili mwenye uhitaji aitumie akupe pesa nawe upate chakula
Safi sana!!!Kwani hii gesi haitumiki au haitatumika kwenye viwanda vya Tanzania? Kama inatumika au itatumika kwenye viwanda vya Tanzania tatizo lipo wapi? Kwani kuna ubaya gani kama una chakula cha kutosha nyumbani kwako ukaamua kumuuzia jirani yako ili kupata pesa ya ziada kufanya mambo yako mengine?
Kama viwanda vya ndani vitakuwa vinatumia hii gesi au vitatumia hii gesi basi mama yupo vizuri sana. Kama taifa lazima tupambane kuuza bidhaa zetu nje ili kupata fedha za kigeni na hiki ndio mama anafanya.
Kuna hoja watu wanaileta kuwa bidhaa za kenya zita-dominate soko la ndani kwa sababu vitakuwa vinazalishwa kwa gharama ndogo hivyo vitauzwa kwa bei ya chini. Hii hoja haina mashiko kama na sisi viwanda vyetu vitatumia gesi kwa sababu vitaweza pia kuzalisha bidhaa kwa gharama ya chini na kupelekea kuuza bidhaa zetu kwa bei ya chini pia.
Mwisho kabisa nawaomba watanzania tumuunge mkono mama. Nasikia mama ni mwanauchumi kitaaluma hivyo anajua anachokifanya, tumpe support atupeleke kwenye nchi ya asali na maziwa. Rais aliyesomea uchumi ndio tunamtaka kwa sasa.
Wasamehe mama. Bado wako kwenye fikra za shujaa, ubongo haukuzoea kufikiri kwa sababu kila aliloliamua lilikua sahihi, watu walitukuza mno mawazo ya shujaa, yaani akili zilishikwa. Sasa lazima muda upite ndipo warudi kwenye uelewa wao. Nakuona umetambua tofauti ya hawa watu wawili.
Mama yupo vizuri. Nasikia ni mwanauchumi hivyo anajua anachokifanya.
Okay.Hana hiyo taaluma Mkuu, atakuwa anatumia washauri.
Chuma cha Africa kimezikwa na akili zao.Hapa tatizo la hao watu wanaopingana na hili la gas kusafirishwa Kenya, ni wale wale ambao akili zao zilishikwa na shujaa na bado mawazo yao yako kwa shujaa.
Kuna mambo mengi tu watu tutaelewa jinsi muda unavyokwenda. Kiongozi akikamata akili za watu wake na kubaki yeye ndiyo final, haya ndiyo madhara yake. Hata akiwa hayupo watu wanabaki kuduwaa wasijue kama jambo hilo linalofanywa sasa liko sahihi au la. Mwanadamu asitukuzwe kiasi cha kumkufuru Mungu.Kwani hawajui hili lilikua kwenye mipango muda? Kuamini kwamba shujaa alilikataa hili nalo ni tatizo lingine kwa baadhi yetu
Mungu ibariki Tanzania
Okay.
Ndiyo maana ya taasisi ya urais. Rais anatakiwa kuwatumia washauri wa taaluma zote, siyo kutenda individually.Hana hiyo taaluma Mkuu, atakuwa anatumia washauri.
Nilitegemea zaidi unijibu maswali haya Kama unauhakika gesi ina tutosha,Mkuu una uhakika gesi haitutoshi? Hivi unadhani kama kweli gesi haitutoshi mama angeiuza nje? Unadhani mama hana akili mpaka auze nje gesi ambayo sisi wenyewe tunaihitaji? Binafsi nadhani zingine ni propaganda tu. Sidhani mama atakuwa na akili ya kujihujumu mwenyewe.
Wewe ni zwazwaWasukuma pekee ndio hawamuungi mkono Mama