DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Guest nazofika hawatoagi vitabu mbn kumbe kuna haka kautaratibu na hamnambii roho zenu nyie😆🥱Tukienda gesti kibongo bongo kwa ajili ya kupiga mambo yetu yale wengi wetu hatutumiagi majina yetu ya ukweli. Mimi naandikaga Emmanuel John, wewe je?
Funguka hapa chini👇
MauaWewe mamboo
Karibia Otii 🌺 itapendeza😂👊Hongera sana miss
Ongea taratibu mkuu😂Kifaa sio mkuu? Hongera sana!
Hahahahaha ikiwezekana unakojoa na kitandani kabisa ili wakamdakie kwenye vikao vya ccmMimi kwenye namba ya simu naandika ya lucas mwanshambwa.
Poa Unique Flower wangu Mzma lakini?Wewe mamboo
Weeeeeh kwaiyo hupajui Mt. Maria goreth😆Tusiowahi kuingia guest, tuna comment vp?
Nimekumiss halafu wala hunitafutiPoa Unique Flower wangu Mzma lakini?
AsanteHongera sana miss
Hukuwa unapatikana mayb nikahisi uko bize sana Kipenz changuNimekumiss halafu wala hunitafuti
Inabidi xmass tuende zanzibar au dubaiHukuwa unapatikana mayb nikahisi uko bize sana Kipenz changu