Tabata kimangaIko wapi hii
PR sinzaTuacheni maskhara asilimia 80 ya wana JF waliopo Dar hawakosi kufahamu si chini ya gesti 10(nyingine bubu) zilizopo dar na viunga vyake...wengine ni wateja mahiri na wengine wanajua vituko vyake
Tuwe wakweli kama unafahamu chache hebu tutajie. ..naanza mimi za kinondoni
Sisimizi
Sisimko
Royal
Peace
Bakule
Serengeti
Nknk
Kila moja ina sifa zake nyingine ni wake za watu nyingine wanafunzi nyingine mahousegirl na wauza matunda nyingine mashoga nyingine mashoga mummy
Ndo kiwanja chako nini cha kujidai?[emoji2]Kuna gesti moja tabata dada wa mapokezi ni mlokole..Ukienda pale kabla hajakupa funguo anaanza kukupiga gospel kwanza
Yaap...pale nimewachinja sanaGraceland Baada ya kilima mkono wa kushoto