Gesti za bongo

Gesti za bongo

Aha mimi nilishakwendaga moja iko pale kawe kigorofa hv zama hizo niko o level. Guest ya mwisho maisha yangu ilikuwa pretoria iko sinza pia kagorofa;wale majamaa sijui watu wanakunya kwenye mashuka meupe maana yana alama najiuliza hawa watu vepee.
 
Hawanyi bali kinatoka!ya kawe ni hii ambayo iko karibu na kituo cha polisi?
 
Aha mimi nilishakwendaga moja iko pale kawe kigorofa hv zama hizo niko o level. Guest ya mwisho maisha yangu ilikuwa pretoria iko sinza pia kagorofa;wale majamaa sijui watu wanakunya kwenye mashuka meupe maana yana alama najiuliza hawa watu vepee.
Hehee watakuwa wamenunua mapya kajaribu kuchek mkuu..!!
 
Buguruni mwanamboka mbona hamzitaji
Hzo zinaitwa gest mkunje...unaingia ndani..unakutana na kitanda only...then ukiomba godoro unaongeza 500, ukiomba shuka 500,ukiomba taa km ni ucku 500..yaan ndo mchezo wao..nan ashaingia gest km hyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Back
Top Bottom