Gesti za bongo

Gesti za bongo

Halafu mara nyingi madada hata hawajui majina, yeye anapelekwa tu tena hata kuangaliana na mhudumu hataki.

Mwanaume unakuwa umesharekebisha kila kitu yeye anaelekea chumbani tu.
Hii kweli aisee..Bro inaonekana we ni mkali wa hizi vitu teh
 
Fainali uzeeni, tutakuja ishia kusema enzi zangu hii gesti....
 
Hahahahaha hapo kidume lazima ulale kama tyre used ya fiat (unajikunja)maana wanakutamanisha na wewe pakupata huduma huna,ilishanikuta hii Morogoro chumba cha jirani jamaa anapiga show halafu nilikuwa sina ujanja wakujua wanakopatikana dadazetu wale,nikaishia kumsomesha receptionist alikuwa mmama mtu mzima hivi akanitemea mimate eti kwamba sioni aibu,asubuhi nilivyomuona alivyo mzee,nikajisemea bora alivyokataa..aloo ujana ni nusu ya wendawazimu,nikikumbuka huwaga nacheka tu.
Yaah sometime unaweza kuwa upo poa tu umeamua kulala zako shida inakuja jirani yako hapo lazima utoke ukasake mzigo but pole ndg ingawa kipindi kimepita.
 
Kaka leo nna shoo hapa mshomba kwa ali maua kitanda kimeo mpk imebidi nipigie toi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sogea mbele pale kuna just nzuri tu ila jina limenitoka na pana mlango wa dharura in case of any emergency
 
Royal ya mwananyamala? Niko hapa nakula taarabu sa tisa tisa hivi naenda zangu kulala, hapa mijimama vimodo masister du wanajimwaya mauni ya kufa mtu. Mmh! Dunia hii kweli tu apita
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sogea mbele pale kuna just nzuri tu ila jina limenitoka na pana mlango wa dharura in case of any emergency
Tehe tehe....wewe ujana wako ulikuwa balaa.

Namwomba Mungu akupe uzee haraka. Ukiona totoz udenda ukutoke lakini machozi yamiminike
 
Tehe tehe....wewe ujana wako ulikuwa balaa.

Namwomba Mungu akupe uzee haraka. Ukiona totoz udenda ukutoke lakini machozi yamiminike
[emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Royal ya mwananyamala? Niko hapa nakula taarabu sa tisa tisa hivi naenda zangu kulala, hapa mijimama vimodo masister du wanajimwaya mauni ya kufa mtu. Mmh! Dunia hii kweli tu apita
Duu ningekuwa karibu ningekujoin
 
Back
Top Bottom