Gesti za bongo

Gesti za bongo

kuna moja ipo kigamboni maeneo ya vijibweni inaitwa PITA NA ZAKO hapo kila ukipita iwe mchana au usiku utakuta mapazia yamepandishwa juu na game zinaendelea kama kawa na hata ukipita na kuchungulia utasikia kwani wewe hujasoma jina hapo nje mshana Jr
 
Kuna haja siku moja kujaza full tank na kufanya ziara kwenye hizi gesti zote zilizotajwa humu. ...jus for funny..!!!
 
mimi nishafanya ziara kibao mkuu mpaka mlandizi nimefika... Katika ziara yangu sitasahau guest house moja inaitwa Mkombozi Ipo tiptop manzese... Kuna Siku nilikuwa na binti mmoja nikaona nimpeleke viunga vile usiku kama wa saa sita hivi... Nikapita nae chochoro moja si tukakutana na rundo la madada poa, kilichotokea hapo mpaka tunaingia ndani tshrt niliovaa ilikuwa haitamaniki na binti wa watu hakuwa na viatu miguuni.
 
Manzese ni habari nyingine wee acha tu Sangret hiyo moja ina vyumba kama 40 hivi mlandizi pia nilishafika huko
 
Duh!umeamua tutaje za mjini ila mimi nimekumbuka moja nilienda bush flan hivi field guest ina vitanda vya banco ile ya waqt uleeee halafu haina ceiling bodi sasa usiku vyumba karibu kumi watu wanapiga game kwinyu kwinyu kwichi kichi yaani ilikuwa kama brass band isiyo rasmi.
Hahahahaha hapo kidume lazima ulale kama tyre used ya fiat (unajikunja)maana wanakutamanisha na wewe pakupata huduma huna,ilishanikuta hii Morogoro chumba cha jirani jamaa anapiga show halafu nilikuwa sina ujanja wakujua wanakopatikana dadazetu wale,nikaishia kumsomesha receptionist alikuwa mmama mtu mzima hivi akanitemea mimate eti kwamba sioni aibu,asubuhi nilivyomuona alivyo mzee,nikajisemea bora alivyokataa..aloo ujana ni nusu ya wendawazimu,nikikumbuka huwaga nacheka tu.
 
Back
Top Bottom