Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Halafu inaelekea hilo jina analipenda sana vipi hakukutajia ya mabibo?
Hata sikumbuki, maana ilikuwa kitu kama 2009 ivi.
Halafu yeye hata alikuwa hajishtukii, anataja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu inaelekea hilo jina analipenda sana vipi hakukutajia ya mabibo?
Usije kuwa ulilala vizimba vya sokoKuna gesti ina vitanda vya zege ipo buruguni......siikumbuki jina ngoja nikirudi tena ......
Ipo tandika stand ya tabatahii kama naijua si ipo pale chocho katikati kabisa kama unaelekea bonden kule
Kuna haja siku moja kujaza full tank na kufanya ziara kwenye hizi gesti zote zilizotajwa humu. ...jus for funny..!!!
Manzese ni habari nyingine wee acha tu Sangret hiyo moja ina vyumba kama 40 hivi mlandizi pia nilishafika hukomimi nishafanya ziara kibao mkuu mpaka mlandizi nimefika... Katika ziara yangu sitasahau guest house moja inaitwa Mkombozi Ipo tiptop manzese... Kuna Siku nilikuwa na binti mmoja nikaona nimpeleke viunga vile usiku kama wa saa sita hivi... Nikapita nae chochoro moja si tukakutana na rundo la madada poa, kilichotokea hapo mpaka tunaingia ndani tshrt niliovaa ilikuwa haitamaniki na binti wa watu hakuwa na viatu miguuni.
Ni balaa aisee!Ngoja tu nipoze kiu yako View attachment 320194View attachment 320195View attachment 320196picha nyingine hazifai
promiseKuna gesti ina vitanda vya zege ipo buruguni......siikumbuki jina ngoja nikirudi tena ......
ipo kituo kinaitwa jiandaeMkuu plzz nielekeze vzr niko maeneo hayo
Sina uwakika.......itakuwa sewa
Promise.... Ila inabidi twende wote sasa.....promise
Hamna hiyo ni gesti kabisa........Usije kuwa ulilala vizimba vya soko
you have a point there, njoo pm tuone tunakutanaje.Promise.... Ila inabidi twende wote sasa.....
Hahahahaha hapo kidume lazima ulale kama tyre used ya fiat (unajikunja)maana wanakutamanisha na wewe pakupata huduma huna,ilishanikuta hii Morogoro chumba cha jirani jamaa anapiga show halafu nilikuwa sina ujanja wakujua wanakopatikana dadazetu wale,nikaishia kumsomesha receptionist alikuwa mmama mtu mzima hivi akanitemea mimate eti kwamba sioni aibu,asubuhi nilivyomuona alivyo mzee,nikajisemea bora alivyokataa..aloo ujana ni nusu ya wendawazimu,nikikumbuka huwaga nacheka tu.Duh!umeamua tutaje za mjini ila mimi nimekumbuka moja nilienda bush flan hivi field guest ina vitanda vya banco ile ya waqt uleeee halafu haina ceiling bodi sasa usiku vyumba karibu kumi watu wanapiga game kwinyu kwinyu kwichi kichi yaani ilikuwa kama brass band isiyo rasmi.