Gesti za bongo

Gesti za bongo

Uuwiii sister[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina mbavu hapo ujue hakuna kushusha godoro chini [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Godoro linashushwa sema kitanda hakivunjiki.....nyie lukeni sarakasi zenu mzipendazo lakini kitanda hakivunjiki
 
Namanga Guest House,hii iko Mabibo mwisho...hahahaha hii 2008 nilivunja kidirisha cha choo nikikimbia fumanizi...Vincent kama upo humu nisamehe mkuu sikuja kurekebisha pale sehemu.
 
Godoro linashushwa sema kitanda hakivunjiki.....nyie lukeni sarakasi zenu mzipendazo lakini kitanda hakivunjiki
Hahhahahaaaa Hahhahahaaaa kwaheri sister [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Namanga Guest House,hii iko Mabibo mwisho...hahahaha hii 2008 nilivunja kidirisha cha choo nikikimbia fumanizi...Vincent kama upo humu nisamehe mkuu sikuja kurekebisha pale sehemu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa nilipo nitaishia kuonekana chizi kwa kucheka sasa vile vidirisha ulitokaje???
 
Tuacheni maskhara asilimia 80 ya wana JF waliopo Dar hawakosi kufahamu si chini ya gesti 10(nyingine bubu) zilizopo dar na viunga vyake...wengine ni wateja mahiri na wengine wanajua vituko vyake
Tuwe wakweli kama unafahamu chache hebu tutajie. ..naanza mimi za kinondoni
Sisimizi
Sisimko
Royal
Peace
Bakule
Serengeti
Nknk
Kila moja ina sifa zake nyingine ni wake za watu nyingine wanafunzi nyingine mahousegirl na wauza matunda nyingine mashoga nyingine mashoga mummy
Duu, ebu tutajie mojamoja na sifa zake!
 
Ndo kiwanja chako nini cha kujidai?
emoji2.png
Teh teh...Mi nasikia tu vijana wakisimulia
 
Back
Top Bottom