Gesti za bongo

Gesti za bongo

1454164541155.jpg
 
duuu Mshana kila inayo tajwa anaijua, tena na wahudumu simchezo, thinyelani kakae
 
Namanga Guest House,hii iko Mabibo mwisho...hahahaha hii 2008 nilivunja kidirisha cha choo nikikimbia fumanizi...Vincent kama upo humu nisamehe mkuu sikuja kurekebisha pale sehemu.
Hahahaah mkuu rudi ukarekebishe
 
Back
Top Bottom