Gesti za bongo

Gesti za bongo

Mbona sijasikia za manzese kiwalani mbadala Tegeta vingunguti gongo la mboto moshi bar magoneni tandale kwa mfuga mbwa kwa tumbo kwa bibi nyau mburahati kigogo jangwani kariakoo keko kurasini ferry nk
 
Tuacheni maskhara asilimia 80 ya wana JF waliopo Dar hawakosi kufahamu si chini ya gesti 10(nyingine bubu) zilizopo dar na viunga vyake...wengine ni wateja mahiri na wengine wanajua vituko vyake
Tuwe wakweli kama unafahamu chache hebu tutajie. ..naanza mimi za kinondoni
Sisimizi
Sisimko
Royal
Peace
Bakule
Serengeti
Nknk
Kila moja ina sifa zake nyingine ni wake za watu nyingine wanafunzi nyingine mahousegirl na wauza matunda nyingine mashoga nyingine mashoga mummy
Lelo gesti house
Machi machi kinondoni
Tujifiche _ boko
Wasituone gesti_ keko
Twihulumile gesti_ machakani, tegeta
twitange gesti, boko magengeni
 
Sawa mkuu, kuna wengine jatipati muda wa kuzungukia maeneo kama hayo kwa sababu ya majukumu ya kutafuta mkate. Anyway kutokufahamu ni kitu kizuri zaidi.
Kiukweli yanayofanyika chini ya paa za hizi nyumba milango ikiwa imefungwa na feni zinazunguka Mungu pekee na shetani na wahusika ndio wajuao vema...ukibahatika kupata simulizi zake unaweza kufa kwa kihoro
 
Gran
Tuacheni maskhara asilimia 80 ya wana JF waliopo Dar hawakosi kufahamu si chini ya gesti 10(nyingine bubu) zilizopo dar na viunga vyake...wengine ni wateja mahiri na wengine wanajua vituko vyake
Tuwe wakweli kama unafahamu chache hebu tutajie. ..naanza mimi za kinondoni
Sisimizi
Sisimko
Royal
Peace
Bakule
Serengeti
Nknk
Kila moja ina sifa zake nyingine ni wake za watu nyingine wanafunzi nyingine mahousegirl na wauza matunda nyingine mashoga nyingine mashoga mummy
Grand Lodge mwenge
 
Sawa mkuu, kuna wengine jatipati muda wa kuzungukia maeneo kama hayo kwa sababu ya majukumu ya kutafuta mkate. Anyway kutokufahamu ni kitu kizuri zaidi.
Ngoja tu nipoze kiu yako
1454162371913.jpg
1454162413907.jpg
1454162421277.jpg
picha nyingine hazifai
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa nilipo nitaishia kuonekana chizi kwa kucheka sasa vile vidirisha ulitokaje???
Kidirisha kilikuwa sehem ambayo kwa juu pana tank la maji,sasa maji yakijaa yanamwagika nadhan yalikuwa yanalainisha ukuta na ukuta wenyewe ulikuwa umechoka choka sasa lilipotokea la kutokea faster nikapata akili chumbani mlikuwa na kistuli nikakivunja nikachukua mguu wake,nikachokonoa mara kidirisha kikatingishika...nikaongeza lile tundu nikachomoka,mkuu mshana Jr mpaka leo sijawahi kujua namna nilivyopita pale kwani baadae nilijapigiwa simu na muhudum kwenda kuangalia,kidogo ningekataa kuwa mimi nilipita pale.
 
Back
Top Bottom