Gesti za bongo

Gesti za bongo

Ulizia mtu yyte hapo atakuonesha ipo karib na barabara
Kuna moja iko Tabata Savanna, mkono wa kushoto kwa ndani kidogo kama unatazama uelekeo wa Kimanga, ina parking ndani ya fensi finyu sana. Wana ka mini bar ndani, inaitwaje?
 
Kuna gesti moja tabata dada wa mapokezi ni mlokole..Ukienda pale kabla hajakupa funguo anaanza kukupiga gospel kwanza
Hahahhahah hapo itabidi uwe unasema Amen tu ili amalize haraka maana watu huwa hawatakagi kabisa kupoteza sekunde mapokezi wasije julikana wameingia huko ama kutoka.
 
Uuwiii sister[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina mbavu hapo ujue hakuna kushusha godoro chini [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Gesti Nyingi tu za kisasa kabisa zinapigwa vitanda vya zege siku hizi na usidhani utagundua kirahisi maana vinapigwa finishing ya sofa kwa ngozi na nakshi unaweza kudhani ni vitanda vya kisasa. Wanasema inasave gharama ya kubadili vitanda na magodoro na pia havipigi kwichi kwichi kama vya mbao au chuma.
 
Mbona sijasikia za manzese kiwalani mbadala Tegeta vingunguti gongo la mboto moshi bar magoneni tandale kwa mfuga mbwa kwa tumbo kwa bibi nyau mburahati kigogo jangwani kariakoo keko kurasini ferry nk
Zingine hazikaririki ila kwa kariakoo kuna hoteli ya Pearl hotel karibu na kituo cha Mwenge, Wacomoro, Wachina, Wahindi ni kama kwao.
 
Hiyo itakua nzuri sana mkuu Mabanker wanajua kitu kinaitwa duty of secrecy sasa napata imani na receptionist mlokole aweza kutunza siri!
Teh teh..Ntakupa address mkuu
 
Back
Top Bottom