Gesti za bongo

Gesti za bongo

We mshanar kwa utabiri wangu utakuwa unakula bata sana maeneo ya makumbusho au kijitonyama karibu sana leo hapa jux pub, kuna guest moja umeisahau inaitwa EKO ipo makumbusho
Nipo mbali ugalila ngoja nirejee bongo
 
Karbu sana huku bongo weekend kama hii wanaume tunaenda bar kwa malengo mawili tu ladies & drinks...ukinywa jux pub uwezi juta maana wahudumu wanajua kazi yao baada ya drinks
Jux ndio hiyo ipo kona ya kwenda kwa Alimaua?
 
Hivi wale watoa huduma pale kinondoni 'mwisho wa nyodo' wamewekwa kwenye kundi gani? Ama kwa kuwa ni take away ndo maana kituo chao hakitambuliki rasmi?
 
Akachube Rd [emoji15]
Ndio hiyo hiyo ina kigorofa cha kizushi
Pale serengeti hakuna lodge bana ila royal na mbele yake kuna moja inaitwa kifaru ni nzuri tena kuna geti kabisa, kuna siku nlizama ile ya home alone gorofani nkavunja kitanda stimu yote ilikata, pia pale uhuru piki kinondoni inayofuata ni lodge pia, na nyuma ya uhuru piki opposite na mjengoni pub kwa Madam B kuna ingine nzuri wakongo nyomi
 
We mshanar kwa utabiri wangu utakuwa unakula bata sana maeneo ya makumbusho au kijitonyama karibu sana leo hapa jux pub, kuna guest moja umeisahau inaitwa EKO ipo makumbusho
Heko na ile karibu na shule ya msingi karibu na magorofa ya usalama kule, kuna moja ya zaman sana inaitwa mandela kama unaenda tandale kwa njia ya shotikati
 
Pale serengeti hakuna lodge bana ila royal na mbele yake kuna moja inaitwa kifaru ni nzuri tena kuna geti kabisa, kuna siku nlizama ile ya home alone gorofani nkavunja kitanda stimu yote ilikata, pia pale uhuru piki kinondoni inayofuata ni lodge pia, na nyuma ya uhuru piki opposite na mjengoni pub kwa Madam B kuna ingine nzuri wakongo nyomi
Umesahau na ile ya kona ya kwa mama zakaria, halafu kifaru ziko mbili ujue hii ya hapa royal ni mpya lakini pia opposite na Serengeti kuna just ya kwa Msuya RIP
 
Nataka nikaibue vipaji vipya vya waimba gospo
1454174536593.jpg

kuwa makini huko vipaji ni vingi
 
Umesahau na ile ya kona ya kwa mama zakaria, halafu kifaru ziko mbili ujue hii ya hapa royal ni mpya lakini pia opposite na Serengeti kuna just ya kwa Msuya RIP
Lakn siku hizi kwenda lodge kupigia kimoja naonaga hasara sana chief mie chopa yangu full tinted labda cku nkitaka kalinye kalinye mpk masaji unapata ndo hua nazama humo
 
Back
Top Bottom