Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa wa pale karbu na biafra ?? Au wapi mkuuHivi wale watoa huduma pale kinondoni 'mwisho wa nyodo' wamewekwa kwenye kundi gani? Ama kwa kuwa ni take away ndo maana kituo chao hakitambuliki rasmi?
Sikurudi kaka nilirudi usiku wa tukio baada ya kupigiwa simu na muhudum kwenda kuangalia madhara niliyosababisha nanilikubali kuifanya hiyo kazi kesho yake but sikurudi baada ya kutangaziwa kiyama na mwenye mtoto,alikuwa mtoto wa jirani yetu mwanajeshi.nasikia walikuja watano wakiwa wamevaa gwanda walitaka wakanipoteze na mabibo kwenyewe nilihama sikurudi nilienda baada ya miaka mitatu.Hahahaah mkuu rudi ukarekebishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sikurudi kaka nilirudi usiku wa tukio baada ya kupigiwa simu na muhudum kwenda kuangalia madhara niliyosababisha nanilikubali kuifanya hiyo kazi kesho yake but sikurudi baada ya kutangaziwa kiyama na mwenye mtoto,alikuwa mtoto wa jirani yetu mwanajeshi.nasikia walikuja watano wakiwa wamevaa gwanda walitaka wakanipoteze na mabibo kwenyewe nilihama sikurudi nilienda baada ya miaka mitatu.
NakusubiriKesho nitawasili dukani mida kama hii
Huwaga hatulali mkuu,hotel tunaenda na wake zetu kubadilisha mazingira,ila michepuko tunapeleka guest house ambazo zipo ndani ndani ku-avoid macho ya wambeya.Mara nyingi wanaolala gesti ni wavulana (wabahili) mwanaume lazima alale hotel
Huwaga hatulali mkuu,hotel tunaenda na wake zetu kubadilisha mazingira,ila michepuko tunapeleka guest house ambazo zipo ndani ndani ku-avoid macho ya wambeya.Mara nyingi wanaolala gesti ni wavulana (wabahili) mwanaume lazima alale hotel
Mkuu....Nyingine chafuu balaa
Masahihisho.Kamwala
Rose inn
Grewn light
Za kimara
Graceland karibu na mabibo hostel
Hiko chumba au stoo. Duuuh sio mchezo. Na huyo chini ya uvungu ndo fumanizi au?
Jux pub iko wapi?Karbu sana huku bongo weekend kama hii wanaume tunaenda bar kwa malengo mawili tu ladies & drinks...ukinywa jux pub uwezi juta maana wahudumu wanajua kazi yao baada ya drinks
Kulala ni 50,000 lkn hawapendi kabisa anayekuja kulala sababu inakua hela ya owner!Duu yakiwa 6 ni 40?