Naanzaje sasa kukuchomesha mahindi...Hizi bahati haziji mara nyingi atiHa ha ha aaa tena ole wake anichomeshe mahindi
Hii kweli aisee..Bro inaonekana we ni mkali wa hizi vitu tehHalafu mara nyingi madada hata hawajui majina, yeye anapelekwa tu tena hata kuangaliana na mhudumu hataki.
Mwanaume unakuwa umesharekebisha kila kitu yeye anaelekea chumbani tu.
why cant u b honest? sema zimekutoka sanaYaap...pale nimewachinja sana
kazika uchumi!!!Na kuzika sana kwa vyovyote
Eeh uko baba alinikataza ......you have a point there, njoo pm tuone tunakutanaje.
Yaah sometime unaweza kuwa upo poa tu umeamua kulala zako shida inakuja jirani yako hapo lazima utoke ukasake mzigo but pole ndg ingawa kipindi kimepita.Hahahahaha hapo kidume lazima ulale kama tyre used ya fiat (unajikunja)maana wanakutamanisha na wewe pakupata huduma huna,ilishanikuta hii Morogoro chumba cha jirani jamaa anapiga show halafu nilikuwa sina ujanja wakujua wanakopatikana dadazetu wale,nikaishia kumsomesha receptionist alikuwa mmama mtu mzima hivi akanitemea mimate eti kwamba sioni aibu,asubuhi nilivyomuona alivyo mzee,nikajisemea bora alivyokataa..aloo ujana ni nusu ya wendawazimu,nikikumbuka huwaga nacheka tu.
Kaka leo nna shoo hapa mshomba kwa ali maua kitanda kimeo mpk imebidi nipigie toiHaina parking along Sam Nujoma rd
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sogea mbele pale kuna just nzuri tu ila jina limenitoka na pana mlango wa dharura in case of any emergencyKaka leo nna shoo hapa mshomba kwa ali maua kitanda kimeo mpk imebidi nipigie toi
hii naijua nishalala sana hapo 😉P
PR sinza
Yaani babako kakukataza utamu nawe unakubali tu!!!? shtuka weweEeh uko baba alinikataza ......
asa kwanini wameweka vitanda vya zegeitakuwa sewa
Tehe tehe....wewe ujana wako ulikuwa balaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sogea mbele pale kuna just nzuri tu ila jina limenitoka na pana mlango wa dharura in case of any emergency
[emoji15] [emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Tehe tehe....wewe ujana wako ulikuwa balaa.
Namwomba Mungu akupe uzee haraka. Ukiona totoz udenda ukutoke lakini machozi yamiminike