Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba


He! He! He! Naomba mawani yangu nisome upya hii.
 

Next time nitakuja na shemeji yenu ama wifi yenu kwa wengine, in case nikitaka misbehave nidhibitiwe.....
 
Halafu nyamayo hanipendi hanipagi thanks wala kunikoti ila mimi nakupenda NYAMA.

Mpwa hiyo red unamaanisha nyamayao au ile uliyokuwa unaifakamia jana nusura ukabwe kama si juhudi za baunsa YoYo?
 
Nani muoga? hapana mie nilichelewa toka mkoani Fidel anaelewa! But nimeahidi next time must

Haya next time nitakuandalia special seat na creti la vinywaji linakuwa miguuni mwetu mezani chini.
 
Halafu nyamayo hanipendi hanipagi thanks wala kunikoti ila mimi nakupenda NYAMA.


haaa holalala Nguli nimecheka mpaka basi mpenzi....looo! luv u 2 mpenzi 2po pa1.
 
hahahahahah teteteteh you make my day jamani yaani umenivunja mbavu zangu teh teh teh teh

Invisible hacheki nakalaptop kadogo kama vile vidaftari vya shilingi mia. Jicho moja kwenye glass moja kwenye thread.
 
Mmhh wakuu hiyo get together yenu kwa kweli inaonekana ilikua nzuri sana,binamu Chriss labda nikuulize,mlifanikiwa kupata picha ya pamoja kwa ajili ya ukumbusho?
 
aleluya!:d:d

Nyamayao umenifurahisha sana, naona nimepata pumziko la moyo....nilikuwa na bubujiko la moyo nitakutungia mashairi matamu nitaku pm kuna watu ambao sio wapwa watanakili wakutumie wanipeperushie ndege wangu.

kwa kifupi mimi ni mrefu nina ft 2 na robo nina miaka 46 na niko single so am experiemced staff in that field of LOVE.
 
Mmhh wakuu hiyo get together yenu kwa kweli inaonekana ilikua nzuri sana,binamu Chriss labda nikuulize,mlifanikiwa kupata picha ya pamoja kwa ajili ya ukumbusho?

Mkuu Nguli alikuwa photographer wetu. tatizo alivozidiwa na makonyagi, sijua kama baadhi ya picha zitatoka vizuri. Ila jibu ni kuwa TULIFANIKIWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…