Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Duuuh, nilikosa uhondo aseee
 
Itakayofuata itakuwa family day kabisa huh hu huh
 
hapana haaa Carmel niambie unanitania, kwani hayo ma beer bado yapo kweli? na huyo kunywa ma molasesi ni nini? amemeza metakefin?


hihi hihihi nimecheka hapa sina mbavu! Mrs bana!😀
 
Asante kwa kujali shemegi😀




Ukirudi leo uje na fimbo kabisa.....yu know wara am sain!😀😀

Hahahah kaka umeniangusha .........fimbo tu? (nyamayao leo atanila nyama- potelea pote bana nalinda mali za kaka yangu-atasema wifi mwenye gubu lol)
 
Back
Top Bottom