Get tugedha ya wapwa na mabinamu wa mahusiano.

hahaaaaaa Ithought ulimpiga stop semenya, ole wako fidel asipotokea mi simo, utajashangaa anakung'ang'ania mbele ya wife. lol.

Binamu hilo nalo neno. Yule sitam-PM mpaka nipate uhakika wa mahudhurio ya mpwa fidel.
 
mpwa fidel atakuja tu!hilo halina mjadala!tukutuku limeenda sevisi kwa ajili ya hilo tu!😀
 
MASANILO unavaa msuli? kwani una ule ugonjwa unaowapata watu wa pwani, adui yake na honi ya gari?

Mpwa naona unaanza kwenda out of key. Hahaha! Nimecheka vibaya sana. Kama mpwa atakuwa nako hako kaugonjwa basi jamvi litakuwa limeenea.
 
hahahaha!nasikia kale kaugonjwa kanaongezaga kionjo cha ziada kwenye mambo yenu yaleeeeee!
 
mimi nasubiri taska zangu sita kutoka kwa carmel!😀
 
Nasikia mabinti wanayapenda sana, Carmel yuko online atatufafanulia.
 
Na wale wanauwezo kwa vile wanamwamini shetani.

Hahaha! Kwa hiyo yu knoo woram seeeeing atakuwa nalo? Mpwa bana. Mabinamu najaribu kuwachungulia kila kona siwapati. Au weekend ndio imeanza?
 
MASANILO unavaa msuli? kwani una ule ugonjwa unaowapata watu wa pwani, adui yake na honi ya gari?

hehehehe nitake radhi, mimi si Zakumi sina kabisa yakhe hilo ni vazi la kimwambao napiga kanzu na koti juu!

kama huyu jamaa hapa

225831001_a38040751c_b.jpg
 
Nasikia mabinti wanayapenda sana, Carmel yuko online atatufafanulia.
nasikia linasaidia sana katika kipindi cha kumpetti petti dem na kumtekenya!ai miini linapomgusa gusa maeneo ya ikulu😀
 
hehehehe nitake radhi, mimi si Zakumi sina kabisa yakhe hilo ni vazi la kimwambao napiga kanzu na koti juu!

Mwanagu lile dude noma nimekutumia picha ya GEOF naona umeipata.
 
mimi nasubiri taska zangu sita kutoka kwa carmel!😀
hahaaa, unajua mi sijui bei ya bia, kwani sh ngapi, mi situmiagi bwana ndo maana nikaagiza jithi ya pipipili
 
nasikia linasaidia sana katika kipindi cha kumpetti petti dem na kumtekenya!ai miini linapomgusa gusa maeneo ya ikulu😀

Bwashee taratibu, naona unaanza kusahau kuwa unammiliki dada yangu!
 
Back
Top Bottom