Get tugedha ya wapwa na mabinamu wa mahusiano.

hahaaa, unajua mi sijui bei ya bia, kwani sh ngapi, mi situmiagi bwana ndo maana nikaagiza jithi ya pipipili

Hehehe! Mabinamu wanaanza kusepa majukumu!
 
Nasikia mabinti wanayapenda sana, Carmel yuko online atatufafanulia.
jamani hili silijui, ongeeni vizuri ili kama inalipa nimkonvisi shemeji yenu alitafute kwa udi na uvumba, si wanasemaga eti madafu yanaleta dude hilo
 
swadakta!mwambie akalitafute.bai dhe wei zanzibar linauzwa busha sh 500 tu!mkuu masa anajua😀
 
jamani hili silijui, ongeeni vizuri ili kama inalipa nimkonvisi shemeji yenu alitafute kwa udi na uvumba, si wanasemaga eti madafu yanaleta dude hilo

Tema mate chini Carmel kuna vitu vya kuomba lakini sio hivyo, nafikiri hulijui vizuri japo kwa wengine ni sifa kuwa nalo, hata mtoto akilia ndani na baba nae analipa na ndio maana kwa pwani adhabu kubwa ya mtu kumpa ni hilo dude kama ametembea na mke wa mtu.
 
heheheehe!waondoe shaka!wao waje tu.wewe m-piemu kila mtu...!bai dhe wei mimi mbado hujani pi-emu!

Hahahaha! Mpwa naona dada anafanya kazi nzuri sana.
 
Kama kawaida nitatia timu, mi na Mrs Nyamayao....heshima iwepo jamani si mnajua ngumi mkononi...you have been warned!
 
Chriss nipemu na mie ntakuja mitaa ya kati au vipi mtu wangu? Soda tu inatoshwa kwangu
 
Tema mate chini Carmel kuna vitu vya kuomba lakini sio hivyo, nafikiri hulijui vizuri japo kwa wengine ni sifa kuwa nalo, hata mtoto akilia ndani na baba nae analipa na ndio maana kwa pwani adhabu kubwa ya mtu kumpa ni hilo dude kama ametembea na mke wa mtu.
he h he he, sitaki kama mambo yenyewe ndo hayo, kumbe huko pwani kuna mambo huko lol
 
Kama kawaida nitatia timu, mi na Mrs Nyamayao....heshima iwepo jamani si mnajua ngumi mkononi...you have been warned!

Yeah! Nafanya mazungumzo na FFU nione kama kuna uwezekano wa kupata ulinzi wao
 
Chriss nipemu na mie ntakuja mitaa ya kati au vipi mtu wangu? Soda tu inatoshwa kwangu
nishamwambia chriss akupm maana we want you there mama ushauri mkuu ili tukupe campany si unajua tena. solidarity forever
 
Huyu anazuga huyu. Mbona nimeshamPM? Ngoja nijaribu tena.
 
Msindima hujambo binamu? Naona unachungulia tu! Utakija nikuPM au mzee atabana?
 
mwanajamiione unatumia bia gani!nawasiliana na watu wa bruwariiz hapa😀
 
......hahahaha kaka wivu hadi umepitiliza lolH

Muhimu, kitu chenyewe si unakijua! sasa na hawa 'mabazazi' hapa hawakawii kumkosea heshima sasa apo ndo nimetoa tahadhari kabisa.

fanya fanya uje, eee (peke yako lakini🙄)
 
Unalazimika kututaka radhi.
 
Back
Top Bottom