Ushanitia kiu mgoja nisepe. So long zaidi ya 75% ya wapwa na mabinamu wameconfirm kushiriki, ngoja nikajipongeze japo na kandovu ka baridi. Usisahau kuja na dada akiwa ameshika red flowers.
hahahahahha, Xpin unajua kuna watu wakisema kidude cha thanks hawakioni, nilikuwa siwaelewi. sasa imenitokea kwa mara ya kwanza, siamini!
Mpwa nakutaka radhi ukurasa wa mbele wa gazeti la udaku, nadhani wataiweka hii badala ya habari za auntie exekiel na wema na hatmani! kwa hiyo supposedly utawahi mpwa?
hehehehehe!leo ijumaa bana kuna foleni kweli!lazima tuanzie breki-pointi mpaka tufike kibamba tumelewa kweli kweli
kanywe ndovu kwa afya zao bana!sasa sijui hawa viumbe wamekupa namba zao?
maanake mimi sipendi kuona ndafu ninayemuandaa haishi kwasababu hawaji😀
Nimesahau viatu vyangu kwa huyo dogo anayetembea akitafuta deal la kupiga rangi kwa wateja, mfupi mweusi ana maneno maneno sana,, ebu fanya fanya vitie kwneye buti mpwa! LOL....BP!
Niko nao sambamba. We mlete sista na maua yake mekundu. Mwambie meneja atuwekee jenereta inkesi TANESCO wakiamua kuingia kazini.
Niko nao sambamba. We mlete sista na maua yake mekundu. Mwambie meneja atuwekee jenereta inkesi TANESCO wakiamua kuingia kazini.
HAHAHAHAHA!naomba nikuvute chemba kudogo tuongee mzazi!nipe contacts
Mi mnikabidhi kitengo cha vinywaji kesho msiwe na wasi wasi.
ole watu wakose vinywaji utajibu shutuma hii nzito
Hahahaha hawawezi kosa labda niwe nimezidisha % alcohol ila jamani wanao tumia Heiken na zile zingine zingine tafadhari kesho hazita ruhusiwa tutakuwa tunacheza na vinywaji vya hapa hapa Nyumbani vya kigeni NO.
Usitusahau na sisi tunaotumia juice natural za nanasi,zikikosekana nitajua una visa na shemeji yako.Hahahaha hawawezi kosa labda niwe nimezidisha % alcohol ila jamani wanao tumia Heiken na zile zingine zingine tafadhari kesho hazita ruhusiwa tutakuwa tunacheza na vinywaji vya hapa hapa Nyumbani vya kigeni NO.
hahaha! Mpwa bana. Unakwepa gharama au unadumisha uzalendo?
Usitusahau na sisi tunaotumia juice natural za nanasi,zikikosekana nitajua una visa na shemeji yako.
nyie hapo juu kwa pamoja mkifika kwenye geti tugeza yenu mnidipu nichonge na nyie
MRS firstlady1