Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Ule msosi niliokula jana hauna adabu kabisa sijui ni food poisoning sijui ni kitu gani hata sielewi tumbo lilikuwa linauma kama mwanamke mjamzito
pole sana dear...mimi zamu yangu ilikuwa last week but nadunda saa hii.....this week ni wewe....next week mwingine......pole sana....naona uko fit sasa