Get well THE FINEST!

Get well THE FINEST!

Rip Finest! Andika urithi nampenda shemeji! Ninakuhakikishia haya ona tofauti! Wote safari ni hiyo tangulia salama
Lizzy ameona hii?
sasa kama kuna wazee wa chabo.........mimi ni mzee wa umbea......nampelekea.
hii ni gia ya kukumaliza pande ile. (usisome tena PM zangu)
 
Lizzy ameona hii?
sasa kama kuna wazee wa chabo.........mimi ni mzee wa umbea......nampelekea.
hii ni gia ya kukumaliza pande ile. (usisome tena PM zangu)

Lizzy is so perfectionist hana time na wambeya! Itakula kwako
 
Kamanda wangu anaumwa???pole sana get well soon mpwaz
 
Pole sana Switi Hati.. Ngoja nipande ndege ya kwanza kesho asubuhi nije kuku uguza... Ama unahitaji kurudi huko Arachuga kupata DOZI nyingine??
 
Rip Finest! Andika urithi nampenda shemeji! Ninakuhakikishia hata ona tofauti! Wote safari ni hiyo tangulia salama
Masa mbona unanimaliza mapema ningali nikipumua na shemeji yako umeishaanza kumpigia hesabu mapema
 
Pole sana Switi Hati.. Ngoja nipande ndege ya kwanza kesho asubuhi nije kuku uguza... Ama unahitaji kurudi huko Arachuga kupata DOZI nyingine??
Aisee nitakuwa nakusubiri airport
 
Back
Top Bottom