Ghafla bin vuuu wote, Kila mara, wanaandika kuhusu Dodoma.

Ghafla bin vuuu wote, Kila mara, wanaandika kuhusu Dodoma.

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
997
Reaction score
1,220
Wanashindana Sasa kuleta threads za kilichojili Dodoma. Awali walisema huko hakutrend, hakuna habari ya kuchukua lakini ajabu servers zinajaa sababu ya threads zao zihusuzo Dodoma.

Aisee hili lidude liitwalo ccm ni balaa Kwakweli.......
 
Back
Top Bottom