Ghafla CCM wanampenda Lissu. Yeye ataingia mtegoni?

Ghafla CCM wanampenda Lissu. Yeye ataingia mtegoni?

Sio lazima umtaje Mzee Mbowe,maandishi yako tu yanajitosheleza.Ombeni sana Mungu Lissu asiondoke kwa maana ndio utakuwa mwisho wa hii SACCOS.
Aondoke aende wapi? Mna duwah lakini hazitafanikiwa.

Halafu humu nina mabandiko lukuki ya kuhoji mambo mbali mbali yanayofanuwa na Mbowe.

Kipimo cha uwezo wa akili za mtu ni kuweza kutofautisha kati ya SACCOS na chama Cha siasa. Ukiona huwezi kutofautisha, wewe ni KILAZA.
 
Kama unaijua propaganda ama character assassination kwenye mijadala. Hili swali hukutakiwa hata kuuliza maana ni concepts ndogo sana
Najuwa 'propaganda' ni tofauti na 'character assassination'; sasa sijui wewe umeviweka pamoja kwa maana gani!

Naona unapenda sana kutumia vimaneno vya kiingereza hapa na pale, bila ya kulenga maana yoyote. Hiyo "concept" hapo inaeleza kitu gani?
 
Najuwa 'propaganda' ni tofauti na 'character assassination'; sasa sijui wewe umeviweka pamoja kwa maana gani!

Naona unapenda sana kutumia vimaneno vya kiingereza hapa na pale, bila ya kulenga maana yoyote. Hiyo "concept" hapo inaeleza kitu gani?
Mkuu naona una silka yako ambayo ipo juu sana kimtazamo na kiakili kiasi cha kuona vile unavyoviona na vile unavyokubaliana navyo.

Kwa hiyo nimekubali mimi nipo chini na wewe ndiye mwerevu.. Hivyo, hustahili kuzungumza na watu usioowiana nao kiufahamu kama mimi. Good day🙏🏽
 
Unajua kuna vyama ni kampuni za mtu havina itikadi za kulinda wala kuendeleza maslahi ya umma ila kumuingiza mtu urais au kuendeleza maslahi yake binafsi na wale wenye hisa kwnye hiyo kampuni. Kule Angola mnakumbuka Unita ya Savimbi au vyama vinavyozuka Kenya kila uchaguzi. Siku hizi Kenya kuna chama kinaitwa UDA. Ndio kimemuingiza Ruto madarakani na yule makamu wa rais aliyetoswa kwa kuzungumzia kuhusu hiza zake kwamba ni za wakikiyu.

..Ccm huwa ni kampuni / genge la mwenyekiti wengine ni wasindikizaji na wala makombo.

..kila aliyeko Ccm anajitahidi awe sehemu ya genge la Mwenyekiti ili ashirikishwe kuitafuna nchi.
 
Back
Top Bottom