Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #61
Aondoke aende wapi? Mna duwah lakini hazitafanikiwa.Sio lazima umtaje Mzee Mbowe,maandishi yako tu yanajitosheleza.Ombeni sana Mungu Lissu asiondoke kwa maana ndio utakuwa mwisho wa hii SACCOS.
Najuwa 'propaganda' ni tofauti na 'character assassination'; sasa sijui wewe umeviweka pamoja kwa maana gani!Kama unaijua propaganda ama character assassination kwenye mijadala. Hili swali hukutakiwa hata kuuliza maana ni concepts ndogo sana
Mkuu naona una silka yako ambayo ipo juu sana kimtazamo na kiakili kiasi cha kuona vile unavyoviona na vile unavyokubaliana navyo.Najuwa 'propaganda' ni tofauti na 'character assassination'; sasa sijui wewe umeviweka pamoja kwa maana gani!
Naona unapenda sana kutumia vimaneno vya kiingereza hapa na pale, bila ya kulenga maana yoyote. Hiyo "concept" hapo inaeleza kitu gani?
Unajua kuna vyama ni kampuni za mtu havina itikadi za kulinda wala kuendeleza maslahi ya umma ila kumuingiza mtu urais au kuendeleza maslahi yake binafsi na wale wenye hisa kwnye hiyo kampuni. Kule Angola mnakumbuka Unita ya Savimbi au vyama vinavyozuka Kenya kila uchaguzi. Siku hizi Kenya kuna chama kinaitwa UDA. Ndio kimemuingiza Ruto madarakani na yule makamu wa rais aliyetoswa kwa kuzungumzia kuhusu hiza zake kwamba ni za wakikiyu.