Kwetu kwa babu,Bibi,kwangu,mamaKw nan
Mbeya moja hiyo.Mkoa ambao umepakana nchi nyingi Tanzania hii
Umepakana na nchi ngapi?Mbeya moja hiyo.
Mimi nipo Ujiji nirudi wapi tenaGhafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ??
Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa
Sijui wewe ?.....