Nyuma yakoCongo au Burundi
Vile unamaliza kutaja kwenu tu, watu wasiojulukana hao unawaona mlangoni wanabisha hodi😂😂Kuna mtu anatafutwa hapa si bure!
Kwani sahv uko ukimbizini wapiGhafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ??
Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa
Sijui wewe ?.....
🥋🥋🥋😬😬😄😄😄Kuna mtu anatafutwa hapa si bure!