Ghala kubwa la silaha kuliko lote huko Russia 🇷🇺 lalipuliwa

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
3,192
Reaction score
7,112
Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze.

Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini. Russia wenyewe wanadai mlipuko umesababishwa na ukiukwaji wa taratibu za kiusalama ndani ya ghala.

Sasahivi Russia 🇷🇺 anapigwa kiakili sana, kama David alivyompiga Goliati.

Taarifa zipo kwenye media zote kubwa ikiwa ni pamoja na Russia 🇷🇺 wenyewe kuthibitisha. Hivyo kwa wale wenzangu msiopenda kusikia baya lolote kwa Russia MSIANZE KUNITUKANA. Habari hii siyo yangu
 
hii ipeleke kule kwenye mada ya vita vita vya Rusia vs Ukraine. Huna sababu ya kuanzisha mada mpya
 
Wewe kweli akili huna acha kudanganya watu!! Eti mlipuko mkubwa kuliko wa Nuclear!!! Ulishawahi kuuona mlipuko wa Nuclear??
Anyway nikujulishe tu kuna Uzi maalum kuhusu vita vya Russia na Ukraine nenda kaandikie huko. Nakukumbusha tena kila mtu ana vitu anavyovipenda kwa hiyo acha tabia ya kushambulia watu wengine alihali na wewe Una udhaifu mkubwa tena wa kijinga kabisa!!!
 
Ila wewe umezidi
 
Ati kushinda nuclear! hehe labda kama ni nyukilia sawa!
 
Inasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze.

Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini. Russia wenyewe wanadai mlipuko umesababishwa na ukiukwaji wa taratibu za kiusalama ndani ya ghala.

Sasahivi Russia 🇷🇺 anapigwa kiakili sana, kama David alivyompiga Goliati.

Taarifa zipo kwenye media zote kubwa ikiwa ni pamoja na Russia 🇷🇺 wenyewe kuthibitisha. Hivyo kwa wale wenzangu msiopenda kusikia baya lolote kwa Russia MSIANZE KUNITUKANA. Habari hii siyo yangu
Unaumwa mavi......wahi chooni
 
RUSSIA uwezi kujua makao makuu yake yoyote nyeti yapo wapi kwamwe!!!!

watakwambia tu ya jesh ni pale Ujasusi pale Anga pale lkn sio kweli !!!!

ao jamaaa ndio siri ya Dunia wana miji 30 lkn aijulikani ipo wapi!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom