hii ipeleke kule kwenye mada ya vita vita vya Rusia vs Ukraine. Huna sababu ya kuanzisha mada mpyaInasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze.
Haifahamiki nini chanzo cha kulipuka japo kuna uwezekano mkubwa wa hujuma maana hakukuwa na drones wala nini. Russia wenyewe wanadai mlipuko umesababishwa na ukiukwaji wa taratibu za kiusalama ndani ya ghala.
Sasahivi Russia 🇷🇺 anapigwa kiakili sana, kama David alivyompiga Goliati.
Taarifa zipo kwenye media zote kubwa ikiwa ni pamoja na Russia 🇷🇺 wenyewe kuthibitisha. Hivyo kwa wale wenzangu msiopenda kusikia baya lolote kwa Russia MSIANZE KUNITUKANA. Habari hii siyo yangu
Atainyea wapi huyu zuzu?Achana na picha leta link inatosha
Ila wewe umezidiWewe kweli akili huna acha kudanganya watu!! Eti mlipuko mkubwa kuliko wa Nuclear!!! Ulishawahi kuuona mlipuko wa Nuclear??
Anyway nikujulishe tu kuna Uzi maalum kuhusu vita vya Russia na Ukraine nenda kaandikie huko. Nakukumbusha tena kila mtu ana vitu anavyovipenda kwa hiyo acha tabia ya kushambulia watu wengine alihali na wewe Una udhaifu mkubwa tena wa kijinga kabisa!!!
Nimeangalia hiyo picha yako naona unafanana na Iskarioti .Atainyea wapi huyu zuzu?
Shindwa katika Jina la Yesu!! Ushindwe na unyong’onyee kabisa!!Nimeangalia hiyo picha yako naona unafanana na Iskarioti .
Unaumwa mavi......wahi chooniInasemekana ndilo ghala kubwa kuliko yote huko Russia. Mlipuko uliotokea ni mkubwa kuliko milipuko ya bomu la nyuklia. Ni hasara kubwa zaidi kwa Russia tangu vita vya Ukraine vianze.