[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kabisa!!
Mkuu sisi tukiwa na uhakika wa kababu mbili tu basi inatosha, yaani hatuna shida na kesho au keshokutwa.....iila kitu ni leo tu.
China wanahaha huku na kule kuona wanaitumiaje hii fursa kuitawala dunia
Misri nasikia wanataka kujenga artificial ziwa lenye ukubwa wa 114km.
Sisi, kila bei ya zao iko juu. Huko bungeni waziri wa kilimo ana hoja zake za sijui BBT lakini mpaka sasa humu JF, kwa great thinkers, siajabu ni 2% wanaojua kinachoendelea kwny hiyo BBT.
Elimu inataka kubadilishwa na rasimu ipo mitaani kwa ajili ya maoni zaidi. Nina uhakika ni 10% tu ya great thinkers humu wanaweza kusema chochote.
Kuhusu Ukraine na Russia, wana JF 99.8% wanajua mpaka idadi ya visu vilivyo mifukoni mwa kila askari, achilia mbali hadi taarifa za kifamilia za askari hao.
Natamani Russia ashinde, ila sijajitoa akili.