Ghala la silaha za NATO lalipuliwa magharibi mwa Ukraine

Ghala la silaha za NATO lalipuliwa magharibi mwa Ukraine

Picha na video zote zimekuwa geolocated sio za Ternopil
Nyingine za Iran
Au sio teh teh teh!!

Ila umeilnikumbusha mwaka 2015, ccm walikua wakionyeshwa "mafuriko" ya lowasa wanasema ni photoshop[emoji23]
 
Aisee, kweli Pro-Russia huwa mnajitoa akili kabla ya kuchangia.
Yaani habari za Kizushi za mwaka jana umezileta hapa bila hata kuanhalia tarehe.
Kwani kuwaunga mkono Russia sharti ni kutokuwa na akili kwanza?
Ngoma bado ipo Bakhmut hiyo.

Haya, habari hiyo hapo tiririka nayo mwenyewe;

We jamaa bwana, haya soma hapa tena...

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Acha kabisa!!
Mkuu sisi tukiwa na uhakika wa kababu mbili tu basi inatosha, yaani hatuna shida na kesho au keshokutwa.....iila kitu ni leo tu.
China wanahaha huku na kule kuona wanaitumiaje hii fursa kuitawala dunia
Misri nasikia wanataka kujenga artificial ziwa lenye ukubwa wa 114km.

Sisi, kila bei ya zao iko juu. Huko bungeni waziri wa kilimo ana hoja zake za sijui BBT lakini mpaka sasa humu JF, kwa great thinkers, siajabu ni 2% wanaojua kinachoendelea kwny hiyo BBT.

Elimu inataka kubadilishwa na rasimu ipo mitaani kwa ajili ya maoni zaidi. Nina uhakika ni 10% tu ya great thinkers humu wanaweza kusema chochote.

Kuhusu Ukraine na Russia, wana JF 99.8% wanajua mpaka idadi ya visu vilivyo mifukoni mwa kila askari, achilia mbali hadi taarifa za kifamilia za askari hao.


Natamani Russia ashinde, ila sijajitoa akili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230515-081016.jpg
 
Turudi the sun...


Sasa ulitaraji uwania wa vita usiwe na milipuko? Hata Russia amelipuliwa sana hadi ndege zikateketezwa kule Crimea, so Acha kukwepakwepa.
Je hiyo ni Warehouse ya NATO?
Hicho ndicho unachotakiwa kuthibitisha
 
Sasa ulitaraji uwania wa vita usiwe na milipuko? Hata Russia amelipuliwa sana hadi ndege zikateketezwa kule Crimea, so Acha kukwepakwepa.
Je hiyo ni Warehouse ya NATO?
Hicho ndicho unachotakiwa kuthibitisha
Ikipostiwa RT basi wanarudia habari.

Habari hiyo hiyo ikipostiwa na vyombo vya west ni kweli!!

Kweli upumbavu ni kipaji.
 
Ikipostiwa RT basi wanarudia habari.

Habari hiyo hiyo ikipostiwa na vyombo vya west ni kweli!!

Kweli upumbavu ni kipaji.
Wame post kuwa Warehouse ya NATO ililipuliwa?
Kama ni kuonekana Mpumbavu na watu wa aina yako basi hiyo ni sifa kubwa sana siyo kashfa wala tusi.

Sababu maumbile ya akili kama zako uwezo huwa hayana uwezo wa kuchakata taarifa na kuzitoa kwa usahihi
 
Back
Top Bottom