Ghala la silaha za NATO lalipuliwa magharibi mwa Ukraine

Ghala la silaha za NATO lalipuliwa magharibi mwa Ukraine

Hiyo taarifa ume-trend nayo hapa jf tu kujifariji baada ya ile counteroffensive waliyopiga Ukraine na kuangamiza jeshi la Urusi na aila zao Wagner
Nasikia mashambulizi ya usiku yaliyofanywa na Urusi imezima kabisa hiyo counteroffensive ni kweli?? 🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom