Ghala la silaha za NATO lalipuliwa magharibi mwa Ukraine

Ghala la silaha za NATO lalipuliwa magharibi mwa Ukraine

Hatufanyii kazi taarifa uliyoisikia, lete vyanzo vizuri hapa vya habari ili tutoe michango
Leta basi mwendelezo wa counteroffensive mlioianza jana kutoka ktk vyanzo vyako vya habari🤪🤪🤪 naona jana mlikuwa moto kushindana kuleta habari lakini leo mmeamka wote mpo kimyaaa. Nini tatizo? 🤣🤣
 
Dogo umechemka. Unaleta viblog vya wanapropaganda wa kirusi halafu unaiita Source? Mwaka huu mtahangaika sana.
Kwanza acha dharau mm sio dogo alafu kingine sipo hapa kukurazimisha ukubali ww ukitaka ukubali ukitaka usikubali lakini hilo haliwezi kubadilisha chochote.
 
Uko nyuma sana ya matukio muhimu

Hako ka-Spring counteroffensive kenu tunakamaliza nguvu mdogomdogo
Ijapokuwa Makamanda wa Urusi 2 wamekufa ila Bhamut bado barabara moja ndani ya Mtaa mmoja. 300sqm. Jeshi la Ukraine 1600 ndani ya 24 hrs wapo kwa Sir God.
 
Mlipuko mkubwa kuwai kutokea Ukraine walipotiwa Jana.

Usiku wa kuamkia leo Russia ilifanya mashambulizi ya masafa marefu katika maeneo mbalimbali ya Ukraine. Ripoti zinasema katika mji wa Ternopil ulitokea mlipuko mkubwa sana ambao haujawai tokea Ukraine tangu kuanza kwa SMO ya Russia nchini Ukraine.

Silaha zenye thamani ya zaidi yq $500m ziliharibiwa huku kwa ujumla silaha zenye zaidi ya thamani $billion zikiharibiwa maeneo tofauti ya Ukraine kama kharkiv, kherson,khmelnitsky na lviv ambako milipuko mbalimbali ilisikika.
 
Mlipuko mkubwa kuliko mabomu yanayotua vyumban mwa watu?
 
Picha na video zote zimekuwa geolocated sio za Ternopil
Nyingine za Iran
 
Acha kulisha watu Propaganda kwa kuokoteza vipicha vya miaka kede nyuma huko.
Ukraine pig
IMG_20230504_043645.jpg
 
Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na makombora ya Urusi.

Swali la kujiuliza JE PATRIOT SYSTEM ILIKUA IMEZIMWA? Au mafuta yaliisha?View attachment 2620866View attachment 2620867View attachment 2620868
Aisee, kweli Pro-Russia huwa mnajitoa akili kabla ya kuchangia.
Yaani habari za Kizushi za mwaka jana umezileta hapa bila hata kuangalia tarehe.
Kwani kuwaunga mkono Russia sharti ni kutokuwa na akili kwanza?
Ngoma bado ipo Bakhmut hiyo.

Haya, habari hiyo hapo tiririka nayo mwenyewe;

Back
Top Bottom