Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ubeberu ni unyama.....Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na makombora ya Urusi.
Swali la kujiuliza JE PATRIOT SYSTEM ILIKUA IMEZIMWA? Au mafuta yaliisha?View attachment 2620866View attachment 2620867View attachment 2620868
Wabongo hatujawahi kushuudia vita zaidi ya mabomu ya mbagala,ile ya kagera ni historia tu,kama tungejua vita ikoje wala tusingeshadadia.Hivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
Wewe ni Pro-Russia[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kabisa!!
Mkuu sisi tukiwa na uhakika wa kababu mbili tu basi inatosha, yaani hatuna shida na kesho au keshokutwa.....iila kitu ni leo tu.
China wanahaha huku na kule kuona wanaitumiaje hii fursa kuitawala dunia
Misri nasikia wanataka kujenga artificial ziwa lenye ukubwa wa 114km.
Sisi, kila bei ya zao iko juu. Huko bungeni waziri wa kilimo ana hoja zake za sijui BBT lakini mpaka sasa humu JF, kwa great thinkers, siajabu ni 2% wanaojua kinachoendelea kwny hiyo BBT.
Elimu inataka kubadilishwa na rasimu ipo mitaani kwa ajili ya maoni zaidi. Nina uhakika ni 10% tu ya great thinkers humu wanaweza kusema chochote.
Kuhusu Ukraine na Russia, wana JF 99.8% wanajua mpaka idadi ya visu vilivyo mifukoni mwa kila askari, achilia mbali hadi taarifa za kifamilia za askari hao.
Natamani Russia ashinde, ila sijajitoa akili.
Aliyekuwa na mawazo makubwa kama haya hapa bongo walimponda na kumpa majina ya hovyo na alipokufa wakashangilia.Misri nasikia wanataka kujenga artificial ziwa lenye ukubwa wa 114km.
Nani kakwambia tunashabikia vita?Hivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
Huu mlipuko sio wa Ukraine acha Propaganda. Huu mlipuko mmeokoteza mlipuko wa Iran mwaka 2015 kwenye kiwanda cha kufua vyuma.Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na makombora ya Urusi.
Swali la kujiuliza JE PATRIOT SYSTEM ILIKUA IMEZIMWA? Au mafuta yaliisha?View attachment 2620866View attachment 2620867View attachment 2620868
Mkuu mbona makasiriko huo mlipuko niwa Ukrein.Huu mlipuko sio wa Ukraine acha Propaganda. Huu mlipuko mmeokoteza mlipuko wa Iran mwaka 2015 kwenye kiwanda cha kufua vyuma.
Either utakua ulikua kijiji ambapo hamna network au umeamua kujitoa ufahamHuu mlipuko sio wa Ukraine acha Propaganda. Huu mlipuko mmeokoteza mlipuko wa Iran mwaka 2015 kwenye kiwanda cha kufua vyuma.
Acha kulisha watu Propaganda kwa kuokoteza vipicha vya miaka kede nyuma huko.Either utakua ulikua kijiji ambapo hamna network au umeamua kujitoa ufaham
Huo mlipuko hauko Ukraine acha kujazwa pumba za uongo. Kwanza jifunze kuandikaMkuu mbona makasiriko huo mlipuko niwa Ukrein.
Upo Ukraine.Huo mlipuko hauko Ukraine acha kujazwa pumba za uongo. Kwanza jifunze kuandika
Uongo huu ghala liloripuliwa ni la RussiaKiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na makombora ya Urusi.
Swali la kujiuliza JE PATRIOT SYSTEM ILIKUA IMEZIMWA? Au mafuta yaliisha?View attachment 2620866View attachment 2620867View attachment 2620868
Chukua hiyo.Uongo huu ghala liloripuliwa ni la Russia
Chukua hiyoHuo mlipuko hauko Ukraine acha kujazwa pumba za uongo. Kwanza jifunze kuandika
Wewe unanufaika na Nini kwa kujifaya siyo shabiki wa Vita hii..Hivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
Kwani kutoa taarifa ni kushangilia?Hivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?