kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Jamaa wanahaha kweli [emoji2]Huu mlipuko sio wa Ukraine acha Propaganda. Huu mlipuko mmeokoteza mlipuko wa Iran mwaka 2015 kwenye kiwanda cha kufua vyuma.
Usihofu mkuu mabwana zenu watawaletea silaha nyingine za msaada.Acha kulisha watu Propaganda kwa kuokoteza vipicha vya miaka kede nyuma huko.
Binafsi napenda kuona wazungu wakipigana na kutoana roho.Hizi ndio taarifa ninazopenda kusikia..
La Urusi lililo jengwa magharibi mwa Ukraine sio?Uongo huu ghala liloripuliwa ni la Russia
Naona umeweka profile picture ya shoga. Unakoelekea sio kuzuri we kijanA
Nawe Unapata faida gani kushangilia timu za ulaya?Hivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
Hizi habari hazipo kwenye breaking news yoyote ya televisions za kimataifa ukitoa hapa JF ni habari ya kukopi na kupasteChukua hiyo.View attachment 2621201
Dogo umechemka. Unaleta viblog vya wanapropaganda wa kirusi halafu unaiita Source? Mwaka huu mtahangaika sana.Chukua hiyoView attachment 2621203
Wanaokoteza tu picha twa miaka ya Nyuma huko, tena ni Mlipuko wa kiwanda cha Chuma huko Iran mwaka 2016.Hizi habari hazipo kwenye breaking news yoyote ya televisions za kimataifa ukitoa hapa JF ni habari ya kukopi na kupaste
Walikuwa wanafanya Service!Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na makombora ya Urusi.
Swali la kujiuliza JE PATRIOT SYSTEM ILIKUA IMEZIMWA? Au mafuta yaliisha?View attachment 2620866View attachment 2620867View attachment 2620868
Inauma sana sanaHivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
CNN pia wame confirm!Mkuu mbona makasiriko huo mlipuko niwa Ukrein.
Ulitaka aweke chanzo gani ili uamini?Dogo umechemka. Unaleta viblog vya wanapropaganda wa kirusi halafu unaiita Source? Mwaka huu mtahangaika sana.
Ulitaka tuweke ipi uamini? TBC au BBC?Source ya hiyo taarifa ni: "Global Jihadist News Outlet."
Unataka wajitangaze kuwa silaha tunazozipeleka zimepigwa kiberiti??Hizi habari hazipo kwenye breaking news yoyote ya televisions za kimataifa ukitoa hapa JF ni habari ya kukopi na kupaste
Hiyo taarifa ume-trend nayo hapa jf tu kujifariji baada ya ile counteroffensive waliyopiga Ukraine bakhmut na kuangamiza jeshi la Urusi na aila zao WagnerUnataka wajitangaze kuwa silaha tunazozipeleka zimepigwa kiberiti??
Nasikia mashambulizi ya usiku yaliyofanywa na Urusi imezima kabisa hiyo counteroffensive ni kweli?? 🤪🤪🤪Hiyo taarifa ume-trend nayo hapa jf tu kujifariji baada ya ile counteroffensive waliyopiga Ukraine na kuangamiza jeshi la Urusi na aila zao Wagner