Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
- Thread starter
-
- #61
Au sio teh teh teh!!Picha na video zote zimekuwa geolocated sio za Ternopil
Nyingine za Iran
WEWE kaendelee kumshabikia zuchu na nandy..acha sisi tuendeleze huku
We jamaa bwana, haya soma hapa tena...Aisee, kweli Pro-Russia huwa mnajitoa akili kabla ya kuchangia.
Yaani habari za Kizushi za mwaka jana umezileta hapa bila hata kuanhalia tarehe.
Kwani kuwaunga mkono Russia sharti ni kutokuwa na akili kwanza?
Ngoma bado ipo Bakhmut hiyo.
Haya, habari hiyo hapo tiririka nayo mwenyewe;
Russia Says Destroyed NATO Arms Depot in Western Ukraine - The Moscow Times
Russia said Wednesday its forces destroyed a depot containing NATO-supplied arms in western Ukraine as President Volodymyr Zelensky urged Western allies to speed up arms deliveries to his country.www.themoscowtimes.com
Acha kulisha watu Propaganda kwa kuokoteza vipicha vya miaka kede nyuma huko.
Yo habari ni marudio, acha utoto? Yaani RT wameishiwa habari hadi wanarudia propaganda za mwaka jana? Hii yote ni kwa kuwa wanajua akili za wafuasi wao zilivyoWe jamaa bwana, haya soma hapa tena...
Moscow shares details of strikes on Ukrainian military
The Russian military has hit Ukrainian ammo and weapons depots, as well as troop deployment areas in two locations, the MOD has saidwww.rt.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kabisa!!
Mkuu sisi tukiwa na uhakika wa kababu mbili tu basi inatosha, yaani hatuna shida na kesho au keshokutwa.....iila kitu ni leo tu.
China wanahaha huku na kule kuona wanaitumiaje hii fursa kuitawala dunia
Misri nasikia wanataka kujenga artificial ziwa lenye ukubwa wa 114km.
Sisi, kila bei ya zao iko juu. Huko bungeni waziri wa kilimo ana hoja zake za sijui BBT lakini mpaka sasa humu JF, kwa great thinkers, siajabu ni 2% wanaojua kinachoendelea kwny hiyo BBT.
Elimu inataka kubadilishwa na rasimu ipo mitaani kwa ajili ya maoni zaidi. Nina uhakika ni 10% tu ya great thinkers humu wanaweza kusema chochote.
Kuhusu Ukraine na Russia, wana JF 99.8% wanajua mpaka idadi ya visu vilivyo mifukoni mwa kila askari, achilia mbali hadi taarifa za kifamilia za askari hao.
Natamani Russia ashinde, ila sijajitoa akili.
Ni ujinga tu. Uafrika ni shidaHivi wabongo mnanufaika na nini kuwa mashabiki maandazi wa kushangilia hii vita inayo endelea?
Turudi the sun...Hi
Yo habari ni marudio, acha utoto? Yaani RT wameishiwa habari hadi wanarudia propaganda za mwaka jana? Hii yote ni kwa kuwa wanajua akili za wafuasi wao zilivyo
Sasa ulitaraji uwania wa vita usiwe na milipuko? Hata Russia amelipuliwa sana hadi ndege zikateketezwa kule Crimea, so Acha kukwepakwepa.Turudi the sun...
Ikipostiwa RT basi wanarudia habari.Sasa ulitaraji uwania wa vita usiwe na milipuko? Hata Russia amelipuliwa sana hadi ndege zikateketezwa kule Crimea, so Acha kukwepakwepa.
Je hiyo ni Warehouse ya NATO?
Hicho ndicho unachotakiwa kuthibitisha
Wame post kuwa Warehouse ya NATO ililipuliwa?Ikipostiwa RT basi wanarudia habari.
Habari hiyo hiyo ikipostiwa na vyombo vya west ni kweli!!
Kweli upumbavu ni kipaji.