Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

Gharibu ni mtu mzuri ndio maana rafiki yake Jakaya Kikwete!! Makonda anasema wana apartments zao wako ubia huko Masaki!!! Ameisha anza kumwaga mboga kabla hata hakujakuchwa!!
Sssa kosa ni nini?? Kwan kuna sheria inakataza kushirikiana na mfanyabiashra??
 
Teh teh teh.. unawaza kulakula tu.. Unadhani kila mtu ana njaa kama wewe?
Kabisa kila mtu ana njaa kama mimi na ndio maana anafanya kazi kila uchwao, uchweao n.k

Kila mtu anafanya kazi ili mwisho wa siku anye sio ili ajenge au avae
 
Kwani kikwete huko aliko anakaa pekee ake,? Kuna ardhi ya matabaka siku hizi kwamba makonda atakaa huku na kikwete huku? Ngoja nyeusi kweli ni laana ikiwemo wewe jamaa
 
Nchi siasa kila sehemu... Mamlaka pekee ya kusema ardhi fulani inamilikiwa na nani ni serikali. Si waende huko wakalimalize
 
Wewe ni mwanga
 
Acha vitisho wewe huna hati miliki ya hii nchi.
 
Mimi Binafsi nimeangalia zaidi hii drama na kujiuliza Maswali haya...

Ni kwa nini GSM wameanza au kurudia vimbwanga vyao vya enzi ya Home Shopping centre,ikiwa ni muda mfupi baada ya baba yao kufariki?

Je ni kwa sababu marehemu baba yao alikuwa labda akiwazuia kuishi na kuendelea na vibweka kama enzi zile za upakuaji container bandarini?

Hii drama iliyoanzia Mikocheni ikaenda kwa mwanasheria kisha jioni kwa Chamazi na leo asubuhi imeamkia kwenye moto wa kiwanda chao huko mwenge.

Je ni mwanzo wa enzi mpya ya wale wale wa enzi zile?
 

napenda nikujibu kiuutu uzima sio kichama chama au kichuki chuki. hoja yako namba 3) wakati makonda anajenga ilikuwa kiwanja cha makonda na huwezi kumuona mtu anajenga kwenye kiwanja chako ukamuwacha hakuna binadamu wa hivyo kwa hiyo hiyo ilikuwa kiwanja halali cha makonda. hoja yako namba 4) kapata wapi pesa za kununua kiwanja na kujenga mjengo wa maana jibu kila binadamu ni mtafutaji na mpaji ni mungu anambinu zake za kupata pesa na kapata . hilo swali muulize GSM na matajiri wengine pesa wanapataje wakawa matajiri hapo ndio utajua uhalali wa matajiri siri anaijua mungu. hoja yako namba 5) mapato kama nilivyokueleza kwenye jibu la na 4 kila mmoja anambinu zake sisi ni kutaka kujua je hiyo kiwanja ni halali ya nani? na ukumbuke kwa nini GSM hakudai mda mrefu kaja kudai baada ya kuona naibu waziri wa ardhi mwingine.
 
Kwani kikwete huko aliko anakaa pekee ake,? Kuna ardhi ya matabaka siku hizi kwamba makonda atakaa huku na kikwete huku? Ngoja nyeusi kweli ni laana ikiwemo wewe jamaa
Kama unaijua Dar huwezi kusema hivi wewe ni wakuja siwezi kubishana nawe maana hata like eneo huwezi kupata kiwanja kwa 120 million kulingana na valuation report ya govt valuer.

Sasa endelea upumbavu wako na wakuja wenzio. Mkiwa mnachukua rushwa ulizeni wazoefu sio mnatunisha matako tu.
 
Wote kwa wakati wao.
Mmoja ameibuka baada ya kukwepa Sana kodi, mwingine baada ya kuwa mmiliki wa genge la wasiojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…