pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Wote waovu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sssa kosa ni nini?? Kwan kuna sheria inakataza kushirikiana na mfanyabiashra??Gharibu ni mtu mzuri ndio maana rafiki yake Jakaya Kikwete!! Makonda anasema wana apartments zao wako ubia huko Masaki!!! Ameisha anza kumwaga mboga kabla hata hakujakuchwa!!
Kabisa kila mtu ana njaa kama mimi na ndio maana anafanya kazi kila uchwao, uchweao n.kTeh teh teh.. unawaza kulakula tu.. Unadhani kila mtu ana njaa kama wewe?
Kwani kikwete huko aliko anakaa pekee ake,? Kuna ardhi ya matabaka siku hizi kwamba makonda atakaa huku na kikwete huku? Ngoja nyeusi kweli ni laana ikiwemo wewe jamaaThe guy
The guy is a fraudster maana hakunaga document inawekwa picha juu ya mhuri wa Wakili, wenzie walimtega zamani sana, mshamba ni mshamba tu, although naelewa yawezekana GSM walimpa kiwanja wakati ule wa Magufuli na makonda akaogopa kufanya transfer sababu Magufuli was a psychic Sasa wamegundua hajafanya na wanaona huu ndio muda wa kumkomesha warudishe kiwanja chao.
Mwisho wa siku ukweli ni kwamba makonda hakuwa na hela ya kununua kiwanja Ada Estate aisee huu ndio ukweli tunajua bei za pale na Msasani plus kule kwa Mengi na Magu pamoja na oysterbay na masaki bei za kule kiwanja hazikamatiki hata kwa dawa labda kwa anayejenga business Park Ila sio nyumba ya kuishi.
Yani mkuu wa mkoa ukae mtaa mmoja na JK? Mtoto wa juzi tu??? Tuwage wakweli tu. Dogo alijitutumua mno nae wacha akome. Ameshindwa kujenga bangaloo mbweni?
BogusKabisa kila mtu ana njaa kama mimi na ndio maana anafanya kazi kila uchwao, uchweao n.k
Kila mtu anafanya kazi ili mwisho wa siku anye sio ili ajenge au avae
Wewe ni mwangaDOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...
Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipi
Kiongozi corrupt, mwenye Mali isiyolingana na kipato chake anaitwa mjanja daahIla Makonda ni mjanja, akaamua kula mzigo mnene ili awe huru.
Unatumia nini kuwaza lakini??Kwani kikwete huko aliko anakaa pekee ake,? Kuna ardhi ya matabaka siku hizi kwamba makonda atakaa huku na kikwete huku? Ngoja nyeusi kweli ni laana ikiwemo wewe jamaa
Acha vitisho wewe huna hati miliki ya hii nchi.Huu ndiyo uharisia GSM wasjione wako juu ya WATANZANIA kabisaaaa ndiyo makonda anamadhambi yake basi ahukumiwe kwa madhambi yake ila Riz1 kama kahusika juu ya hili basi hana budi ajitathimini.
Huu ukoo wa GSM ni laana unapaswa kufutiliwa mbali sivyo utatuendesha WATANZANIA kila uongozi unapobadirika.
Wao ni kina nani kila UTAWALA uwe mifukoni mwao????
Tutatetea TANZANIA siyo waharifu kama GSM au MAKONDA.
Kila mtu apate HAKI yake,GSM chunga sana umafia ulio nao watu wanaujua hivyo kukuondosha kwa heshima ya NCHI hii inawezekana,utakimbia tena nchi hii!!!
Mimi Binafsi nimeangalia zaidi hii drama na kujiuliza Maswali haya...Binafsi naamini MAKONDA na GHALIB(GSM) "hawakukutana barabarani" , bali wanajuana vizuri tofauti na picha inayojengwa na hili "saga" lao la kugombea kiwanja linaloendelea hivi sasa.
Kwamba Makonda anamtuhumu GSM anataka kumdhulumu na ni mfanyabiashara tapeli, wakati huo huo, GSM anadai kiwanja Ni chake kwa maana kwamba zile hati za kuuziana mbele ya wakili Ibrahim Shinene sio za kweli kwa mujibu wa GSM yaani ni za kughushi(forged documents).
Haihitaji kuwa "Genius" wala "IQ" iliyoshiba kujua kwamba hawa watu wawili, yaani MAKONDA na GSM wote kwa pamoja kuna kitu wanakificha na hawataki kijulikane na umma. Badala yake wote wawili wanacheza "social media game" ili kuvutia upande wao "public sympathy".
GSM wameamua kuchukua hatua hii (maybe ikiwemo kurusha ile clip mitandaoni pamoja na kumtuma wakili wao aongee na waandishi badala ya kwenda Mahakamani) sababu wanajua Makonda anachukiwa sana na watu wengi hivyo wanaamini watu watawaunga mkono dhidi ya Makonda kwa vile wanajua akili zetu wabongo sio za kuhoji bali zipo kimuhemuko zaidi yaani "zipozipo tu".
Na pengine wametuma ujumbe kwa mamlaka zinazomlinda kwamba mtu wenu atawaaibisha.
Baada ya kuona hivi, Makonda kuonyesha kwamba yeye ni "mafia" na kwamba haogopi na yuko tayari kwa lolote, akatumia njia ile ile ya "social media" kupiga mkwara mzito dhidi ya GSM, Polisi na "watu walio nyuma ya GSM". Makonda amefanya hivi ili kubalance hii issue na kuwatishia maadui zake hao kwamba "wakimwaga mboga, atamwaga ugali".
Watu wote wanaomchukia Makonda wako upande wa GSM. Hali kadhalika watu wote wanaompenda Makonda wanamtetea. Kwa mtu makini, bila kufuata hisia binafsi, inabidi ajiulize maswali yafuatayo?
1. Huo ugali anaotaka kuumwaga Makonda ni upi?
2. Je, Makonda from nowhere kaenda kujenga kwenye kiwanja cha GSM? Kwa nini si kiwanja cha mtu mwingine?
3. Wakati Makonda anajenga kwenye hicho kiwanja, GSM walikuwa wanamuangalia tu?
4. Je, Makonda kapata wapi fedha za kununua kiwanja hicho toka kwa GSM, pia kapata wapi pesa za kujenga "mjengo wa maana" kwenye kiwanja hicho?
5. Je, mapato na matumizi ya Makonda yanaakisi mali alizonazo?
6. Je, kwa nini hawa watu hawajaenda kudaiana mahakamani badala yake wamekimbilia mitandaoni?
Laiti kama nchi hii ya Tanzania ingekuwa na viongozi/serikali makini kama ilivyo kwa nchi za wenzetu huko Duniani zilizo na viongozi walio makini wanaochukulia serious uwajibikaji, maadili ya utumishi wa umma, Rushwa pamoja na Ufisadi naamini hili suala lingejulikana mustakali na ukweli wote.
Hili suala haliitaji kuunda tume ya kuchunguza bali a very simple approach ingetosha kupata ukweli, Jibu la nani Muovu kati ya GSM na Makonda lingepatikana kwa kutumia wapelelezi wa Polisi na Takukuru, kiweledi na sio kisiasa.
Lakini kwa kuwa Tanzania ni nchi ambayo Raisi akikupenda hakuna wa kukugusa, raisi asipokukubali utashitakiwa (Ref approach ya Magu na Samia kwa Sabaya) ,Takukuru haikuchunguzi mpaka waamuriwe na Raisi yaani hakuna "Rule of law" katika kuwashughulikia wanasiasa mpaka Raisi atake.
Sitarajii kuona lolote la maana kutoka kwenye mamlaka zinazohusika juu ya suala hili zaidi ya wao "kufunika kombe mwanaharamu apite".
...
..
.
Binafsi naamini MAKONDA na GHALIB(GSM) "hawakukutana barabarani" , bali wanajuana vizuri tofauti na picha inayojengwa na hili "saga" lao la kugombea kiwanja linaloendelea hivi sasa.

Kama unaijua Dar huwezi kusema hivi wewe ni wakuja siwezi kubishana nawe maana hata like eneo huwezi kupata kiwanja kwa 120 million kulingana na valuation report ya govt valuer.Kwani kikwete huko aliko anakaa pekee ake,? Kuna ardhi ya matabaka siku hizi kwamba makonda atakaa huku na kikwete huku? Ngoja nyeusi kweli ni laana ikiwemo wewe jamaa