Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda akuletee cheti chake cha Albert malyangiri bashite chenye ziroMakonda nae Atoe vielelezo ili Mamlaka husika ivichunguze Luna VIELELEZO VYA KUGUSHI ili mhusika na Wahusika WASHTAKIWE
Bana lunda aka watoto wa mjiniRiziwani Kikwete si ndio naibu wazir wa ardhi?
Aisee maisha yanaenda speed
Mjanja wapi? Ni lishamba tu kutoka Kolomije! Lina act Kisukuma sana!Ila Makonda ni mjanja, akaamua kula mzigo mnene ili awe huru.
Kuamini waganga kumemponza walimpa matumaini hewa kwamba atakuwa Raisi baada ya jiwe kuachia madaraka 2045.Huyu kijana madaraka yalimlevya akasahau Kuna maisha nje ya uongozi,
Sasa yupo kwenye vita ya kujitakia na wazee wa michongo, awe makini wasimkaange.
Kiongozi corrupt, mwenye Mali isiyolingana na kipato chake anaitwa mjanja daah
Hapo sasa. Dah!makonda wewe umesahau uozo wako?
Kuna watu uliwadhulumu maisha yao!
Kuna watu uliwapora fedha zao kipindi cha madawa ya kulevya na bereau de change.
Tuelezee hili jumba la mabilioni ulipata wapi fedha za kulijenga!