Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

makonda wewe umesahau uozo wako?
Kuna watu uliwadhulumu maisha yao!
Kuna watu uliwapora fedha zao kipindi cha madawa ya kulevya na bereau de change.
Tuelezee hili jumba la mabilioni ulipata wapi fedha za kulijenga!
 
Ole wake amtegemeae mwanadamu.
Makonda uliona magu ataishi milele, miliiba na kudhulumu mtakavyo hadi wengine mkawapoteza!
Anaedhulumiwa nae hudhulumiwa, anayeua kwa upanga nae atakufa kwa upanga!
 
Riziwani Kikwete si ndio naibu wazir wa ardhi?
Bana lunda aka watoto wa mjini
Screenshot_2022-03-13-10-49-20-72.jpg
 
Huyu kijana madaraka yalimlevya akasahau Kuna maisha nje ya uongozi,

Sasa yupo kwenye vita ya kujitakia na wazee wa michongo, awe makini wasimkaange.
Kuamini waganga kumemponza walimpa matumaini hewa kwamba atakuwa Raisi baada ya jiwe kuachia madaraka 2045.
 
makonda wewe umesahau uozo wako?
Kuna watu uliwadhulumu maisha yao!
Kuna watu uliwapora fedha zao kipindi cha madawa ya kulevya na bereau de change.
Tuelezee hili jumba la mabilioni ulipata wapi fedha za kulijenga!
Hapo sasa. Dah!
 
Hivi Tanzania viongozi wangekuwa wanafanyiwa lifestyle audit kama mataifa kadhaa yaliyo serious kiongozi gani angepona?

Huyo zero brain licha ya maovu mengi ya kutisha bado viongozi wengi wana ukwasi wa kutisha usioendana na kipato chao au mali walizomiliki kabla hawajaingia kwenye uongozi.
 
Back
Top Bottom