Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Nimefika Accra, Ghana Jana (jumanne, tarehe 27/08/2024) asubuhi. Ilipofika jioni mwenyeji akaniomba nimsindikize kwenye sherehe Fulani.
Niliyoyaona huko yanasikitisha. Kumbe mambo haya yapo kote hadi Ghana? African Union tafadhali ingilieni kati. Hali ni mbaya.
Hatua za haraka zinahitajika. Vinginevyo vijana wengi wasio na ajira watazama mazima humo kama mbadala wa kukosa ajira.

Attachments
-
36c419985c114b3ca18d5915237eaf1c_An8WPfhwk4NU9nSQeeA7b9ciFhD-QzdHOXPOWN4lYszeJkKbwrMKmwpmVz-fQ...mp44.7 MB
-
3e823550a88949d990daf77f65bd6636_449376769_17969521085735181_1271752838982345024_n.jpg698.1 KB · Views: 14 -
0c334a3415614cf79d270f35c61c1c91_449313456_17969521151735181_4850574914696841039_n.jpg491.2 KB · Views: 16