Acha ushamba,dunia inabadilika. Kuna kazi ngapi sasa hivi duniani zinahitaji nguvu zaidi ya akili wakati huo huo kuna kazi kibao zinahitaji uwe na ubongo tu na za kisasa zamani hazikuepo. Hivi unajua sasa hivi jeshi la polisi kuna social media manager? Miaka 20 iliyopita hapakua na kazi kama hiyo.
Watu kama nyie mnaodhani dunia mmeiumba nyie,wakati dunia inabadilika inavotaka yenyewe. Technology ndio inabadilisha dunia sasa hivi utake au usitake.
Watu kama nyie mnaodhani dunia mmeiumba nyie,wakati dunia inabadilika inavotaka yenyewe. Technology ndio inabadilisha dunia sasa hivi utake au usitake.
Karibu Accra, niko hapa Osu nakula upepo, baade nirudi hapo mitaa ya Spintex.
unashangaa hapa Accra wakati hapo Nairobi jirani na home mambo ni live live, nikirudi mitaa ya KaNairo nitakutumia video zao hao wasenge, ni vile tu we should learn to live with different ethnic groups lakini hao mafala wanakera sana