Cost sharing. Zinahitaji fedha kwa ajili ya kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka mfuko mkuu wa Hazina. Ruzuku inabaki kama sehemu tu ya mapato ya hospitali.
Sidhani kama kuna taasisi inajiamulia gharama bila kuwasilisha kwa kwa umma na wadau kwa ajili ya kutoa maoni Bodi na Waziri mwenye dhamana. Tena gharama hizo zitangazwe kwenye gazeti la serikali na kupewa GN number kama jina na utambuzi. Bila hivyo ni batili na wakishtakiwa hawachomoki.Hayupo anayekataa cost sharing ila break down ya ghara ni vyema vikajulikana, nani anaweka bei na vigezo gani.
Vinginevyo hapa ni ujanja ujanja tu.
Sidhani kama kuna taasisi inajiamulia gharama bila kuwasilisha kwa kwa umma na wadau kwa ajili ya kutoa maoni Bodi na Waziri mwenye dhamana. Tena gharama hizo zitangazwe kwenye gazeti la serikali na kupewa GN number kama jina na utambuzi. Bila hivyo ni batili na wakishtakiwa hawachomoki.
Kila mmoja wetu anatakiwa kuwa na bajeti ya matibabu. Na hapo ndipo inapokuja umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote.
Nikusaidie kitu rafiki!Imekuwa si nadra kusikia ankara za mamilioni ya pesa kwa ajili ya tiba kwenye hospitali za umma.
Nani anayepanga bei hIzi na kwa vigezo gani?
Je ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo?
Au ni yale ya Bashe na wakulima na bei zao za vyakula?
Kwamba kama bei ni kubwa basi kila mtu akaanzishe hospitali yake?
Kama taifa tunakoelekea yaweza kuwa siyo kwema sana.
Nikusaidie kitu rafiki!
Hospitali sio mambo ya CCM Vs CDM or CUF...
Kama unafikiri matibabu ni rahisi fungua hospitali yako kama una uwezo huo alafu utuletee mrejesho...
Hii nchi hata hospital ziwe kila mtaa , Watanzania wengi hawawezi kumudu huduma kubwa ...Tunajua watanzania ni masikini ila bado gharama ni kubwa unaweza kufa huku unajiona.Hili jambo linashangaza sana mkuu, iweje hospitali ya umma gharama zake ziwe sawa na private wakati vifaa, wataalamu na wahudumu wanalipwa na serikali? Kuna siku nilipeleka kipimo kwa ajili ya dogo pale muhimbili nikaambiwa elfu 80, kipimo cha kawaida kabisa. Bora waseme sasa kwamba serikali imejitoa kwenye kuhudumia afya za wananchi kila mmoja abebe msalaba wake kama walivyofanya kwenye bure elimu.....
Kwenye hospitali ya umma cost sharing haiwezi kuwa kuweka gharama zinazoendana na hospitali binafsi, kwani kodi za wananchi ndo zinazoendesha hospitali hizo ikiwemo kulipa mishahara ya wataalamu na wahudumu, kununua vifaa tiba na madawa nk. Huwezi kutoza kipimo cha kawaida cha makohozi elfu 80 kwenye hospitali ya umma kwa kisingizio cha cost sharing, ingekuwa elfu 5 ingeeleweka kwamba ni kuchangia gharama.Cost sharing. Zinahitaji fedha kwa ajili ya kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka mfuko mkuu wa Hazina. Ruzuku inabaki kama sehemu tu ya mapato ya hospitali.
Hili jambo linashangaza sana mkuu, iweje hospitali ya umma gharama zake ziwe sawa na private wakati vifaa, wataalamu na wahudumu wanalipwa na serikali? Kuna siku nilipeleka kipimo kwa ajili ya dogo pale muhimbili nikaambiwa elfu 80, kipimo cha kawaida kabisa. Bora waseme sasa kwamba serikali imejitoa kwenye kuhudumia afya za wananchi kila mmoja abebe msalaba wake kama walivyofanya kwenye bure elimu.....
Watu wanajadili vitu vya maana wewe unaleta uchawa wako wa CCM!Nikusaidie kitu rafiki!
Hospitali sio mambo ya CCM Vs CDM or CUF...
Kama unafikiri matibabu ni rahisi fungua hospitali yako kama una uwezo huo alafu utuletee mrejesho...
Tena unaweza kuta private bei ziko chini na huduma ni za uhakika.......vinginevyo pesa nyingi za umma zinazoelekezwa afya zisitishwe ili tujue kwamba wanajiendesha asilimia mia.Mkuu tatizo pia siyo kuwa gharama ni kubwa kama za private tu.
"Private unawaelewa wao wamejenga zao kama anavyosema Bashe."
Tatizo hapa ni kwa nini ni bei hizo zilizopo.
1. Nani anayepanga bei hIzi na kwa vigezo gani?
2. Je ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo?
Iko kama lengo ni kuhakikisha tunakuwa mafukara kweli kweli.
Kwanini gharama hizi kubwa?Hii nchi hata hospital ziwe kila mtaa , Watanzania wengi hawawezi kumudu huduma kubwa ...Tunajua watanzania ni masikini ila bado gharama ni kubwa unaweza kufa huku unajiona.
Basi na serikali iache kutenga bajeti kwa wizara ya afya!Cost sharing. Zinahitaji fedha kwa ajili ya kujiendesha bila kutegemea ruzuku kutoka mfuko mkuu wa Hazina. Ruzuku inabaki kama sehemu tu ya mapato ya hospitali.
Board za hospitali ndiyo zinapanga beiHayupo anayekataa cost sharing ila break down ya ghara ni vyema vikajulikana, nani anaweka bei na vigezo gani.
Vinginevyo hapa ni ujanja ujanja tu.
Watu wanajadili vitu vya maana wewe unaleta uchawa wako wa CCM!