Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12

Matokeo yake alivyorudi Tanzania akasema ametumia Dola za kimarekani milioni 12. Maradhi gani hayo? Kafanya operesheni ngapi? Alikwenda hospitali ya aina gani mpaka alipe dola milioni 12. Hakuna duniani, huo ni ufisadi.
Duuh. Wacha waombe msamaha wanajua maana yake.
 
 

Attachments

  • IMG_1415.MP4
    1.3 MB
Duuh. Wacha waombe msamaha wanajua maana yake.
Hayo ni matokeo ya karma, kila kitu utakilipa hapa hapa Duniani.

Wakati wananchi wake anaowawakilisha wa Jimbo la Kongwa, baadhi yao wanakufa kwa ugonjwa wa malaria, kwa kukosa dawa za kujitibia, yeye anafuja mamilioni ya Dollar za kimarekani, kwa matibabu yake binafsiπŸ₯Ί
 
Uliwapima ukajua wamekufa kwa sababu ya Malaria?
 
Nadhani ilimaliza bajeti ya matibabu kwa vigogo wa serikali wakakia kutibiwa Mzena.
Hata bima ya afya haitoshi.So sad.
 
Ndugai amesemwa sana vibaya, SASA katangulia mbele za haki endeleeni na li nchi lenu.
 
India huko ukienda kichwa kichwa wanakukunguta tu!
Ndugai kumbuka alupokuwa huko alikaa 5 🌟 hotel
Alitaka special treatment

Ova
 
Mungu fundi, hata ukatibiwe hosp gani kwa gharama ipi kama wewe zamu ishafika ya kuondoka UTAONDOKA.
Cha ajabu katuacha sisi wa Mwananyamala tunadunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…