Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12

Nakumbuka aliyekuwa waziri enzi ya mkapa Hansy Kitine mke wake alidanganya anaenda kutibiwa akaiba 40milioni.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huu uzi umekosa hata support ya bavicha wenyewe kwa sababu hata akili zao wenyewe pamoja na kuwa za kinyumbu lkn zimeshindwa kuamini kwamba mtu anaweza kutumia billion 30 kwa matibabu tu
Nyumbu mwingine ameteuliwa udc(j.mtatiro) ninyi ccm msio nyumbu bado tu
 
Kajitafunia zake 28 billion eti gharama za matibabu na hakuna aliyehakiki! Acha amfanyie zengwe CAG Assad.

😂😂😂😂😂😂😂Ndugai bwana
 
Kuna mtu humu anaweza kutwambia aliyekuwa waziri mkuu wa Israel, Sharon, alitumia kiasi gani kwa matibabu?. Jamaa alikaa miaka zaidi ya mitatu kitandani anapumulia mashine!
 
Gharama matibabu Ndugai yazua jambo
Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari huku akidai kuwa ndani ya matibabu hayo kuna harufu ya ufisadi.

Issa alidai kuwa matibabu ya Spika Ndugai yalitumia dola za kimarekani milioni 12 na kwamba huo ni ufisadi uliolenga kuvusha fedha ambazo ni kodi za Watanzania.
“Tunataka kuona ripoti zote zinawasilishwa bungeni, vikiwamo vyeti vya matibabu na madaktari walifanya operesheni,” alisema.

Alidai kuwa Spika Ndugai alikwenda nchini India kutibiwa ingawa hawajui alikuwa anasumbuliwa na nini.
“Matokeo yake alivyorudi Tanzania akasema ametumia Dola za kimarekani milioni 12. Maradhi gani hayo? Kafanya operesheni ngapi? Alikwenda hospitali ya aina gani mpaka alipe dola milioni 12. Hakuna duniani, huo ni ufisadi.

“Hiyo ilikuwa njia ya kuvusha fedha ambazo ni kodi za Watanzania kutumia kisingizio cha maradhi kwenda hospitali, kumbe kavusha fedha,” alidai huku akisisitiza Baraza la Wazee Chadema, linataka kuona ripoti zote zinawasilishwa bungeni.

“Ripoti ya Spika Ndugai, tunataka vyeti vyote vya hospitali, hesabu ya madaktari, alifanyiwa operesheni ngapi. Tunataka hesabu kamili ya miezi yote ya matibabu kama zimefika Dola za kimarekani milioni 12,” alisema.

Aprili 14, mwaka huu, Spika Ndugai akijibu swali la gharama ya matibabu yake nje ya nchi wakati akizungumza na waandishi wa habari, alisema kuugua kwake kumelisababishia taifa fedha nyingi, hawezi kujua.
“Labda ningekufa watu wangefurahi. Katika matibabu yoyote yale, tunawatibu watu hatuangalii thamani ya mtu na kiwango cha fedha kilichotumika. Kinachoangaliwa kama kuna matumizi mabaya ndani ya matumizi hayo,” alisema.
“Nilitibiwa mwaka 2015/16 na hesabu hizo ni za 2017/18. Unajua tena mtu akibanwa anatafuta sababu huku na kule. Wanaotibiwa ni wengi na hospitali niliyokwenda kutibiwa ni ya kawaida. Nilikutana na Watanzania wa kila aina, wa aina zote, tunapishana huyu anakwenda kwa daktari huyu, mwingine huyu, sijawahi kwenda hospitali ya New York (Marekani), Ujerumani, naenda India ambako ndiko Watanzania wanakotibiwa,” aliongeza.

Aprili, mwaka jana, Spika Ndugai alirejea nchini akitokea India alikokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kwa miezi kadhaa.
Si aweke vyeti mezani yaishe, hospital gani haitoi recept ya matibabu ya mgonjwa
 
Hata Lissu who was severely injured hata tumia kiasi hicho cha fedha sasa wewe mwenye kisukari na Diabetic foot kea mwezi mmoja tu 12M USD??
 
Ccm ni ile

Ccm ni ile ile mbele kwa mbele
 
Si aweke vyeti mezani yaishe, hospital gani haitoi recept ya matibabu ya mgonjwa
Mambo yale yale ya Bashite.Analalama tu lakini vyeti hatoi.

Uzuri Hospital zote duniani zinaongowa na kanuni ya Uadilifu ya Uwazi, Ukihitaji medical report iwe legal au moral unapewa au financial report ulizotumia kila siku kila dakika unapewa, yeye alete tu hizo report tuzione. Asianze kutafuta huruma eti watu wangefurahi akifa.

Mbona Tundu Lissu walitaka afe yeye akida kuna hasara gani?
 
Kuna mtu humu anaweza kutwambia aliyekuwa waziri mkuu wa Israel, Sharon, alitumia kiasi gani kwa matibabu?. Jamaa alikaa miaka zaidi ya mitatu kitandani anapumulia mashine!
Ndugai yeye kapumulia lini mashine?
 
Ndio maana walizuia watu wasiende kutibiwa nje kumbe walishajua kwamba walishatumia bilioni za kutosha,yaani gharama za matibabu kwa miezi 6 ya mtu m1 ni bilioni 27?????? Aiseeeee watu wanafanya kufuru....Hivi Bilioni 27 zingejenga Zahanati/Vituo vya afya vingapi ambapo hakuna kabisa? Hivi ndugai hana bima ya afya mpaka serikali iingie gharama?
 
Moto wa Mlima Kilimanjaro unavyozimwa KIMASIKINI huwezi kuamini ndio TANAPA hii inayotoa 'GAWIO' kubwa serikalini huku ikishangiliwa na machoko wa Mataga,

Uvccm wanachokiweza kwa sasa ni kupiga mawe misafara ya Tundu Lissu na kutetea ujinga wa mabosi wao mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamedai wamemwibukia spika wa Bunge, Job Ndugai, huku wakitaka ripoti ya gharama za matibabu ya kiongozi huyo wa chombo cha kutunga sheria alipokuwa India, iwasilishwe bungeni.

Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Issa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari huku akidai kuwa ndani ya matibabu hayo kuna harufu ya ufisadi.

Issa alidai kuwa matibabu ya Spika Ndugai yalitumia dola za kimarekani milioni 12 na kwamba huo ni ufisadi uliolenga kuvusha fedha ambazo ni kodi za Watanzania.
“Tunataka kuona ripoti zote zinawasilishwa bungeni, vikiwamo vyeti vya matibabu na madaktari walifanya operesheni,” alisema.

Alidai kuwa Spika Ndugai alikwenda nchini India kutibiwa ingawa hawajui alikuwa anasumbuliwa na nini.

“Matokeo yake alivyorudi Tanzania akasema ametumia Dola za kimarekani milioni 12. Maradhi gani hayo? Kafanya operesheni ngapi? Alikwenda hospitali ya aina gani mpaka alipe dola milioni 12. Hakuna duniani, huo ni ufisadi.

“Hiyo ilikuwa njia ya kuvusha fedha ambazo ni kodi za Watanzania kutumia kisingizio cha maradhi kwenda hospitali, kumbe kavusha fedha,” alidai huku akisisitiza Baraza la Wazee Chadema, linataka kuona ripoti zote zinawasilishwa bungeni.

“Ripoti ya Spika Ndugai, tunataka vyeti vyote vya hospitali, hesabu ya madaktari, alifanyiwa operesheni ngapi. Tunataka hesabu kamili ya miezi yote ya matibabu kama zimefika Dola za kimarekani milioni 12,” alisema.

Aprili 14, mwaka huu, Spika Ndugai akijibu swali la gharama ya matibabu yake nje ya nchi wakati akizungumza na waandishi wa habari, alisema kuugua kwake kumelisababishia taifa fedha nyingi, hawezi kujua.

“Labda ningekufa watu wangefurahi. Katika matibabu yoyote yale, tunawatibu watu hatuangalii thamani ya mtu na kiwango cha fedha kilichotumika. Kinachoangaliwa kama kuna matumizi mabaya ndani ya matumizi hayo,” alisema.

“Nilitibiwa mwaka 2015/16 na hesabu hizo ni za 2017/18. Unajua tena mtu akibanwa anatafuta sababu huku na kule. Wanaotibiwa ni wengi na hospitali niliyokwenda kutibiwa ni ya kawaida. Nilikutana na Watanzania wa kila aina, wa aina zote, tunapishana huyu anakwenda kwa daktari huyu, mwingine huyu, sijawahi kwenda hospitali ya New York (Marekani), Ujerumani, naenda India ambako ndiko Watanzania wanakotibiwa,” aliongeza.

Aprili, mwaka jana, Spika Ndugai alirejea nchini akitokea India alikokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kwa miezi kadhaa.
Duh! Nilistuka, $12m unajenga hosipitali. Nikazidi kusoma, nikakuta kundeni wazee wa CHADEMA wanalalamika! Wamejuwaje? Inawawashani? Nikarudi shama kulima.
 
Mida hii Ndugai usingizi umekata yupo humu anapima upepo....mke wake namuonea huruma .....jiuzuru tu baba kwani haki zako si watakupa ? Hamna namna kupiga chini
 
Back
Top Bottom