Gharama na taratibu za kufungua sanduku la posta

Mheshimiwa,

Tembelea link hii Untitled Document kuna majibu ya maswali yako hapo.

Ushauri: Ni vyema kujaribu kutafuta taarifa kama hizo kwenye websites za vitengo/mashirika husika kabla ya kuja JF, afterall, hapa JF inaweza kuchukua muda mrefu zaidi huku wewe unaweza ukawa na haraka.

Amani iwe nawe.
 
Leo nimefika posta Kijitonyama branch. Gharama ziko hivi.... Gharama za key ni 20100, ID Card 2000, Ada (kwa sasa unalipia robo mwaka) 5000. January unalipia gharama ya mwaka 11500. Bei zote ziko kwa Tsh.
 
Piteni pia hapa, kuna taarifa za viwango vyote vinavyotozwa na Shirika la Posta kwa huduma mbalimbali.
 
Wakuu Naomba Kufahamishwa Kwa Dar SLP Zipi Ziko Na Nafasi
 
Bei Inategemea na mji ulipo. Mi ninalo Dar na Moshi na Arusha. Kote bei tofauti ila nalipa 8000 -20 000 kwa mwaka
 
basi kama mtu anaweza akanikodishia for few months call me 0713774746 dsm
 
Langu nililipata kwa sh 50,000 tu nenda Posta mpya au ya zamani kaulizie maana huwa yanapokonywa kwa wateja wasioyalipia na gharama kwa mwaka haizidi 20,000
 
Hii itakua ngumu kukodishiwa! Nenda posta gharama za mwanzo ni kama laki na nusu ila kulipia kila mwaka ni 13,000 kwa dsm

Si kweli, last week kuna mtu kafungua kwa elfu arobaini na moja na mia tano tu na gharama za kulipa mwisho wa mwaka ni elfu kumi na nne tu.
 
Kama upo Dar es Salaam nenda pale posta ya Kijitonyama, kufungua sanduku la posta ni shilingi 11,800/= tu hela za kitanzania.Ukitoa elfu 12,000 watakurudishia chenji shilingi mia mbili
 
Kama upo Dar es Salaam nenda pale posta ya Kijitonyama, kufungua sanduku la posta ni shilingi 11,800/= tu hela za kitanzania.Ukitoa elfu 12,000 watakurudishia chenji shilingi mia mbili

Kote yamejaa
 
Kote yamejaa

Hahahaha wewe ni muongo aise, box haziwezijaaa, basi kama vipi nenda Pugu road karibia na Quality Plaza kachukue sanduku pale ama chukua hata yale ya mtaani kama yale ya pale Sinza Kijiweni
 
Hahahaha wewe ni muongo aise, box haziwezijaaa, basi kama vipi nenda Pugu road karibia na Quality Plaza kachukue sanduku pale ama chukua hata yale ya mtaani kama yale ya pale Sinza Kijiweni

Nina uhakika na ninachokuambia wanachofanya Posta ni kukupa la MTU anayedaiwa
 
Kama upo Dar es Salaam nenda pale posta ya Kijitonyama, kufungua sanduku la posta ni shilingi 11,800/= tu hela za kitanzania.Ukitoa elfu 12,000 watakurudishia chenji shilingi mia mbili

Mkuu mimi ninalo pale Posta mpya nenda na hiyo 11,800 uone kama utapata, hiyo laki na nusu nimesema ni gharama za mwanzo na sio official. Sipendi Rushwa ila siwezi kukosa nachohitaji kwa sababu ya misimamo yangu.
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Kufungua sanduku kwaajili ya kampuni ni shilingi laki moja ila kwaajili ya mtu binafsi ni elfu hamsini tu za kitanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…