Kappa
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 114
- 32
Posta wanayo masanduku ya barua ya kuuza?
Lazima yawepo tu, watakula wapi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Posta wanayo masanduku ya barua ya kuuza?
Bei Inategemea na mji ulipo. Mi ninalo Dar na Moshi na Arusha. Kote bei tofauti ila nalipa 8000 -20 000 kwa mwaka
Pia inategemea, ni la binafsi, kikundi ama kampuni.
Hii itakua ngumu kukodishiwa! Nenda posta gharama za mwanzo ni kama laki na nusu ila kulipia kila mwaka ni 13,000 kwa dsm
Kama upo Dar es Salaam nenda pale posta ya Kijitonyama, kufungua sanduku la posta ni shilingi 11,800/= tu hela za kitanzania.Ukitoa elfu 12,000 watakurudishia chenji shilingi mia mbili
Kote yamejaa
Hahahaha wewe ni muongo aise, box haziwezijaaa, basi kama vipi nenda Pugu road karibia na Quality Plaza kachukue sanduku pale ama chukua hata yale ya mtaani kama yale ya pale Sinza Kijiweni
Kama upo Dar es Salaam nenda pale posta ya Kijitonyama, kufungua sanduku la posta ni shilingi 11,800/= tu hela za kitanzania.Ukitoa elfu 12,000 watakurudishia chenji shilingi mia mbili
Mkuu mimi ninalo pale Posta mpya nenda na hiyo 11,800 uone kama utapata, hiyo laki na nusu nimesema ni gharama za mwanzo na sio official. Sipendi Rushwa ila siwezi kukosa nachohitaji kwa sababu ya misimamo yangu.