Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
Huna akiliHiyo ni ndoto. Hakuna chochote wataweza kufanikisha
Huna akiliHiyo ni ndoto. Hakuna chochote wataweza kufanikisha
Watajua wenyeweHiyo ni ndoto. Hakuna chochote wataweza kufanikisha
*** weweMpigwe shaba wapingaji
Mkuu Waulize madaktari na NHIFkipimo cha Typhoid kipi?
Ambao hawana akili ni hawa wanaokuja na program kila muda ambazo hawana akili yoyote ya kuzifanikishaHuna akili
Ukienda hospitali ukasema una kadi ya bima ya afya pale mapokezi watakukata jicho kaliiAngalau watu wapate hata paracetamol kwa bima
KAYA MLIOZAA WATOTO 5 MJUE LAK 3 INAWAHUSU WAWEKE SAWASerikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita.
Akizungumza kuhusu mpango huo, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema wananchi wasio na uwezo, wakiwemo wazee, watoto, wajawazito na watu wenye ulemavu, watagharamiwa na Serikali.
Aidha, amesema kwa gharama ya 150,000, watu sita walio kwenye kaya moja watajiunga na Bima ya Afya kwa Wote itakayojumuisha mwanachama mchangiaji, mwenza wa mwanachama na wategemezi wanne.
“Wategemezi hao wanne wanaweza kuwa ni mzazi wa mwanachama au mzazi wa mwenza wa mwanachama; mtoto wa mwanachama wa kuzaa, kuasili au wa kambo aliye na umri chini ya miaka 21 au ndugu wa damu wa mwanachama aliye na umri wa chini ya miaka ishirini na moja” amefafanua.
Pingapinga kazini,msio na jema,msiopendeka,subirini wakenya wajisajili mkie delea kupiga kelele
Nyie Kila kitu mnapinga,mmbwa nyie hamna jema
Assemble umewahi kuitumia?Hapo hamna cha maana ukienda hospital wataendelea kutaka cash tu bima yenye maana hapa TZ ni jubilee tu
kumuona daktari,panadol na kitanda endapo utalazwa; mengine utajiongezaTatizo ni bima inachogharamia