Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

Kiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
2,102
Reaction score
907
Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort!
Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort?
Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Habari wakuu.
Ningependa kufahamishwa gharama za kukodi msafara mdogo tu wa traffic police wenye pikipiki moja mbele, ningependa kujua utaratibu nzima na gharama.
 
Uwe na pesa tu ya kuwajazia mafuta ma-POTI

Na buku teni teni za kazi utasindikizwa kwani kisheria ni haki yako na unatakiwa upewe bure.
 
Misafara binafsi ni ipi???
Unautambuaje kuwa huu ni binafsi????
Escort hapa umeitumia kwa mapana na marefu yapi????

Tuanzie hapo kwanza
 
Uwe na pesa tu ya kuwajazia mafuta ma-POTI

Na buku teni teni za kazi utasindikizwa kwani kisheria ni haki yako na unatakiwa upewe bure...

Kwahiyo budget ya buku 50 kila siku jioni wanaweza wakawa wananipeleka home kukwepa folen?
Hapo nachukua watatu, nawapa 30, afu 20 ya wese.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Misafara binafsi ni ipi???
Unautambuaje kuwa huu ni binafsi????
Escort hapa umeitumia kwa mapana na marefu yapi????

Tuanzie hapo kwanza

Ninaposema misafara binafsi ni ile misafara ya magari ambayo sio ya kiserikali, I mean magari binafsi kusindikizwa na gari la polisi na pikipiki kwa ving'ora ku clear barabara

Nadhani hapo umenipata

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ninaposema misafara binafsi ni ile misafara ya magari ambayo sio ya kiserikali,I mean magari binafsi kusindikizwa na gari la polisi na pikipiki kwa ving'ora ku clear barabara

Nadhan hapo umenipata

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mzee Mwinyi pia anatembelea gari binafsi, nifafanulie anahitaji Road Clearance?
 
30 yote hiyo, wee baresa? Au unaishi Kibaigwa?

Kuna mtu wale wa pikipiki walimsindikiza kwa buko 2, kuanzia mataa ya Serena hadi wakamvusha mataa ya moroco

Kwahiyo budget ya buku 50 kila siku jion wanaweza wakawa wananipeleka home kukwepa folen?
Hapo nachukua watatu,nawapa 30,afu 20 ya wese

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort!
Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort?
Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Aisee hata mimi nilikuwa najiuliza sana.... mbona misafara mingi haieleweki?? Mara coaster, mara gx100, mara bajaj zinapewa eskoti na pikipiki ya polisi
 
Are all private by appearance actually private in essence????
 
Haina tatizo, ni hela yako tu. Wale jamaa wana njaa sana.
 
Haina tatizo,ni hela yako tu.Wale jamaa wana njaa sana.

Me nataka kujua ni kiasi gani na procedure za kufata

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mzee Mwinyi pia anatembelea gari binafsi,nifafanulie anahitaji Road Clearance?

Kuna siku nimeona gx100 na coaster zimepewa escort, kuna siku nimeona VX yenye private number inapewa escort na leo nimeona benz private number imepewa escort

Habari ya Mwinyi hiyo siijui

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Unalipia ni huduma inatolewa na polisi, pochi lako tu ni kama wale wanaopeleka fedha benki wanalindwa hadi kaunta au huduma ya ulinzi kwenye mabenki wale askari wanakodiwa.
 
Kuna siku nimeona gx100 na
coaster zimepewa escort,kuna siku nimeona vx yenye private number
inapewa escort,na leo nimeona benz private number imepewa escort

Habari ya mwinyi hiyo siijui

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Tatizo ni kuwa umejipanga kiubishi zaidi. Anyway, ungetaka kujua procedures za kupata escort kama ulivyosema nenda polisi utajuzwa taratibu.
 
Jamaa yang mmoja yupo kampuni ya ulinzi katika moja ya hotel maarufu DSM, aliniambia kuwa hizo escort binafsi zinalipiwa laki moja kwa kila escort ya polisi.
 
Ninaposema misafara binafsi ni ile misafara ya magari ambayo sio ya kiserikali,I mean magari binafsi kusindikizwa na gari la polisi na pikipiki kwa ving'ora ku clear barabara

Nadhan hapo umenipata

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Sijaona tatizo gari private kupewa escort. Ukituambia kwenye hizo gari private alikuwemo nani hapo tutapata la kusema, so long as hatujui nani alikuwemo.. I have nothing to complain.
 
jamaa yang mmoja yupo kampuni ya ulinzi katka moja ya hotel maarufu dsm, aliniambia kuwa hizo escort binafsi zinalipiwa laki moja kwa kila escort ya polisi.

Ngoja tusubiri atakayekuunga mkono inaonesha kuna ukweli kwenye hili.
 
jamaa yang mmoja yupo kampuni ya ulinzi katka moja ya hotel maarufu dsm, aliniambia kuwa hizo escort binafsi zinalipiwa laki moja kwa kila escort ya polisi.

Kampuni ya ulinzi binafsi!!!!!

Escort binafsi!!!!

Polisi wanaingiaje hapo????

Ndo maana nilimuomba mtoa hoja afafanue maaana ya escort katika mjadala wake maana hata magari ya milipuko ya migodini huwa na escort all the way bandarini mpaka mgodini.

Escort ni neno kubwa sana yapaswa kujua ipi inaongelewa hapa
 
Back
Top Bottom