Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

Yaani hizo escort za ving'ora na vimulimuli ni reserved kwa vigogo wa dola kwa hapa tz. Sijui kama ukiwa na mapesa yako unaweza kujiundia msafara na vimulimuli binafsi[emoji23]
Utaratibu upo kwani ni mara nyingi tu nimeona msafara wa gari za kiraia tu unasindikizwa na king'ora cha polisi.

Hasa ukiwa barabara inayoelekea uwanja wa ndege wa JKN Dar.
 
Tangu lini majeshi ya serikali yakatumika kwa shughuli binafsi? Labda sheria itungwe kuruhusu kampuni binafsi za ulinzi ziwe zinafanya kazi kama za traffic barabarani
 
Utaratibu upo kwani ni mara nyingi tu nimeona msafara wa gari za kiraia tu unasindikizwa na king'ora cha polisi.

Hasa ukiwa barabara inayoelekea uwanja wa ndege wa jkn dar.
Hao ni watu maarufu na wenye ushawishi kwenye jamii. Mfano Diamond aende Kenya tu hapo atasindikizwa na king'ora.
 
Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort!
Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort?
Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Anza na kugombea Ujumbe wa Nyumba 10 kisha uwenyekiti Udiwani Ubunge na mwisho Urais basi icho unachokitaka utakipata
 
Back
Top Bottom